Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Una hakika?Mzabuni mkubwa wa nondo kwenye mradi wa SGR (GSM) Yanga.
B15 nayo pesa umesahau usiku mmoja tu pale Mlimani city 10B ilitolewa1. Samia Yanga.
2. Ndejembi Yanga
3. Mwigulu Yanga
4. Mzabuni mkubwa wa nondo kwenye mradi wa SGR (GSM) Yanga.
Tatizo liko wapi? Engineer jitafakari. Umetumia bilioni 15 kusajili, Simba wametumia bilioni 5 tena za mali kauli.
B15 nayo pesa umesahau usiku mmoja tu pale Mlimani city 10B ilitolewa
GSM pesa yake anatembea nayo, hakuna Benki Tanzania inaeweza kutunza
Eti huu nao ni uzi tayari.1. Samia Yanga.
2. Ndejembi Yanga
3. Mwigulu Yanga
4. Mzabuni mkubwa wa nondo kwenye mradi wa SGR (GSM) Yanga.
Tatizo liko wapi? Engineer jitafakari. Umetumia bilioni 15 kusajili, Simba wametumia bilioni 5 tena za mali kauli.
NdiyoEti huu nao ni uzi tayari.
Okay basi GSM ndiyo tajiri wa SimbaGSM tangu lini Yanga
ππOkay basi GSM ndiyo tajiri wa Simba
Wanaisupport Yanga.Kwamba hao uliwataja hapo ni wachezaji wa Yanga, au?? π
GSM Simba wewe! Alisukumizwa huko na JK1. Samia Yanga.
2. Ndejembi Yanga
3. Mwigulu Yanga
4. Mzabuni mkubwa wa nondo kwenye mradi wa SGR (GSM) Yanga.
Tatizo liko wapi? Engineer jitafakari. Umetumia bilioni 15 kusajili, Simba wametumia bilioni 5 tena za mali kauli.
Sawa tajiri, kweli GSM ni Simba na ndio boss pale msimbazi.GSM Simba wewe! Alisukumizwa huko na JK