Yanga Ina watu wazito, hii ndo bodi ya wadhamini waliochaguliwa

Ficha upumbavu wako, ujuwaji mwingi kumbe hujui lolote.

Kwanza uelewe kazi ya bodi kabla ya kuandika huu ushuzi wako, bodi ya wadhamini si watendaji wa shughuri za kila siku za Yanga, hiyo ni kazi ya Rais Hersi na Kamati yake ya utendaji.

Simpendi Mwigulu kisiasa, lakini Ki mpira Mwigulu ndio aliwapa Yanga Fei Toto bure kama Zawadi yake kwa Yanga kutoka Singida United wakati Yanga ilikuwa inachangisha bakuli haina kitu.

Halafu hapo kwa Fatma Karume ndio umeonesha wazi wewe ni kizazi cha dot com kilichojaa mihemko hujui lolote, Shangazi ni Mjukuu.

Kama humjui Mrs Karume, basi huyu ndio Fatma Karume first lady wa Rais wa kwanza wa Zanzibar.
 

Attachments

  • Screenshot_2023-06-24-16-18-22-10.png
    286.6 KB · Views: 1
Vijana hao wanajitia ujuaji mwingi wakati ni empty set.
{}
 
Mwigulu ametoa zawadi ya binadamu, Mwigulu alikuwa anamiliki Singida United ? Na anammiliki Feti Toto kama kiatu ?

Fatma Karume, for all we know, ni mwanasheria binafsi kutoka Zanzibar aliyetetea mkataba wa kuuzwa bandari ya Tanganyika. Kama mke wa Abedi Karume nae ni Fatma then that's even worse. Yule bibi anafanya fanyaje kazi hii? Inaonyesha hawako serious, wamechagua watu wenye majina ya kisiasa.

Unatumia avatar ya PhD wakati upeo wa kufikiri mdogo ? PhD gani inaongea kwa mitusi ???
 
Hao unaowaona wamechaguliwa hapo wameanza kuidhamini yanga kabla hata wewe ujazaliwa, hapo tukikuuliza wewe unaichangia nini yanga ili ipate mapato yake unaweza usitaje hata kimoja
 
Una uhakika matajiri wa Yanga siyo wapigaji?

Nazunguzia utapeli kwenye Timu ,Sauti ya Ng'ombe ni Janja janja haweki mzigo kwenye timu ,anaulizwa 20B aliweka kwenye account gani mpaka leo hajawahi kujibu.....Yanga inajiendesha kifaidia tu Maokoto kama Yote means Matajri hawana Mbambamba wanadumbukiza mzigo tu bila wasiwasi.
 
Una uhakika matajiri wa Yanga siyo wapigaji?
Hakuna Shortcut katika kufanikiwa,na lazma tubadilike, tuishi Kiuhalisia na tuache porojo,Washabiki wetu wa leo sio wajinga wajinga na wamebahatika kuishi kwenye dunia ya teknolojia na mitandao ya kijamii!!

Tusiwe na akili ya huyo Njemba ambae tunapigwa fix baada ya kunywa Petrol kama sio diesel katoka nduki kuliko Benz.

Bajeti ya msimu ujao ya Yanga Bilioni Ishirini,ni sawa na pesa ambazo Makolo wameuza Club yao ( hadi leo senti nyekundu hawajapewa) yaani Kiufupi msimu ujao Yanga wanaweza kuacha kila kitu wakainunua FC kolo na kuigeuza Club ya Pombe au kituo cha kujifunza ulevi.

Yote ni nini ? Ni uongo uongo tu na kutafuta shortcuts, kupenda kusifiwa upuuzi mitandaoni na kutafuta ukubwa wa fix wasiokuwa nao.

Hope Jana Kuna fundisho kwa Watu wa football ,Uongozi sio lazma uongope na kuishi kwa ndoto za Alinacha,na itupe fundisho kubwa, kuendesha Club ya Mpira kunahitaji maarifa, sio umri mkubwa kama Unju bin Unuki.Masela wapo byeee kuliko Matarabushi

Yanga Bajeti yao ya msimu ulioisha ni kubwa zaidi ya Bajeti ya Team zote za Ligi kuu ya Kenya,na kama mjuavyo msimu ujao Bajeti yao itakuwa kubwa maradufu.

Nb:; Kiufupi Dar es salaam Young Africans inaweza kuinunua Dunduka fc na chenji ikabaki,,

Jumapili njema Wananchi,,nyie wengine ajuae Mungu"

Manara.
 
Hao unaowaona wamechaguliwa hapo wameanza kuidhamini yanga kabla hata wewe ujazaliwa, hapo tukikuuliza wewe unaichangia nini yanga ili ipate mapato yake unaweza usitaje hata kimoja
Unachanganya kudhamini na kuchangia, masikini ya Mungu... Mdhamini sio mfadhili...

Bado una mentality za enzi za Azim Dewji na Abassi Gulamali, Mungu amrehemu.

Professional sports organization haitakiwi kuchangiwa na mtu binafsi!

Hicho kilikuwa kilio cha Watanzania toka the 80's, kubadiki mpira kuwa wa kulipwa, unakumbuka?

Hatutaki watu binafsi, matajiri na wanasiasa kuwa wafadhali na viongozi wa timu anymore, tunataka professional sports executives na wamiliki, period...

Ndio maana mpira haundelei, tunauendesha kiswahili sana, na mashabili have no clue, masikini weeeee....
 
Bajeti ya Yanga wanatarajia kutumia Billion 20 msimu ujao, halafu Mwamedi kainunuwa Simba kimaandishi ( siyo cash) kwa Billion 20, hapa kwa mwenye akili unaona wazi kabisa Mwamedi ni tapeli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…