Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani, Mwigulu? 😁😁😁Sema viongozi wenye influencing power kubwa
Mjombba kwa kutujazaaa auntie zako sasa utadhani tuna hio mizigo mweh!😊!Yanga tuna visu mzee.. ushawai muona Bantu Lady Kalpana Antonnia kama malaika haoo 😊😊.. huyo umemuweka mcheza mpira sio mrembo
Mjomba wako alipo tupo... 😀😀😀Mjombba kwa kutujazaaa auntie zako sasa🤭🤭😊!
Maua yako yakufikie popote uliipooo💐💐💐💐💐💐
😀 😀 😀mmimi huyooo.....abadaaaani😅😅😅 unajua yupo team gani mkuuu... maana miaka na miaka ni mwananchi damu
Takukuru ni mbwa kibogoyoWangekuwa tayari wamekamatwa na TAKUKURU
Tunatukuza sana wanasiasa. Hata misibani akitokea mwanasiasa tunasema Bw. Fulani Mkuu wa Mkoa ameongoza msiba. Tunadhani the only capable, inteligent and dignified people ni wanasiasa.Kati ya hao hakuna mwenye sifa ya uadilifu isipokuwa no. 1 kwa sababu ya uzee. Nchi hii bado tunatukuza mafisadi
Naona hakunaaa yani kumepoaa sio kidogo!!Miss u too sisy jamanii...hakuna story huko naona siku hizi jukwaa limepoaa
Eti navenye nilimkaanga mzima mzima.. 🤣 🤣 🤣 🤣 yaniii jamani nimecheka mno..ila alituacha vibaya sana Sisy...Naona hakunaaa yani kumepoaa sio kidogo!!
Navenye Stivulimkaanga mzima mzima najua hana hamuuuu😊😊😊!!
Nimekuachia mama.Hahaha anataka wana Lunyasi mukuje kwa wingi mtetee hoja...
Huyo niachie mimi... 😀 😀 😀 😀
Ila sio kwa ubaya jamani... 🤣 🤣 🤣 🤣Nimekuachia mama.
mbona atajuta😅