Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Simba ni timu ya serikali pia, Sunderland iliporwa na serikali uikapewa jina la Kawawa Simba wa vita.Hayo ya huko kwa watopolo, simba huwezi kukuta ujinga huu.
Uliza uambiwe, jiulize kwa nini Dewji ana makampuni zaidi ya 100 lakini mchakato wa kuimiliki Simba umeshindikana?