Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #41
Bodi gan mkuuMudi Kila siku anasusa .....mnaenda kumpigia magoti Kila siku[emoji23][emoji23]Wote waajiriwa wa serikali kasoro fatma siku kazi ikiisha hawawezi kusaidia timu mnaanza kutembeza bakuri tena,jifunzeni kwa simba ina bodi strong ya watu maproffessional na wenye makampuni.