Yanga Ina watu wazito, hii ndo bodi ya wadhamini waliochaguliwa

Yanga Ina watu wazito, hii ndo bodi ya wadhamini waliochaguliwa

Yanga Ina Kila kitu mkuu hata madem wa yanga ni wakali balaaa. Shoo zetu wanayanga kitandani hazifananishwi na kenge yoyote yule. Yanga bot pale wadau kama wote. Hatuna idadi kubwa ya wasaka ajira na wasiokuwa na kazi. Ndo mana mitandaoni hutuoni sana kuchangia changia
Kwa hiyo nyie madem wa Yanga manjikuta wazuri kama wale waliokuja kumalizia kusoma udaktari MUHAS toka Sudan?
 
Yanga Ina Kila kitu mkuu hata madem wa yanga ni wakali balaaa. Shoo zetu wanayanga kitandani hazifananishwi na kenge yoyote yule. Yanga bot pale wadau kama wote. Hatuna idadi kubwa ya wasaka ajira na wasiokuwa na kazi. Ndo mana mitandaoni hutuoni sana kuchangia changia
Unamaanisha wote hata yule wa Yanga Princess aliyelazimika kukaguliwa jinsia walipokwenda kucheza Cameron?
 
Kamati ya siasa ya Ccm in back ground.

Tunapowaambiaga kila siku hapa timu za Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali kuna viziwi huwa hawaelewi.

Bodi ya wadhamini ndio wamiliki wa timu na Mali zote za timu.
Hapana mkuu.....hii haihusiani na ccm
 
Yanga Ina Kila kitu mkuu hata madem wa yanga ni wakali balaaa. Shoo zetu wanayanga kitandani hazifananishwi na kenge yoyote yule. Yanga bot pale wadau kama wote. Hatuna idadi kubwa ya wasaka ajira na wasiokuwa na kazi. Ndo mana mitandaoni hutuoni sana kuchangia changia
Well said [emoji122]
 
Kamati ya siasa ya Ccm in back ground.

Tunapowaambiaga kila siku hapa timu za Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali kuna viziwi huwa hawaelewi.

Bodi ya wadhamini ndio wamiliki wa timu na Mali zote za timu.
Hapa mtani umeweka mapenzi na ushabiki pembeni.
Umeongea ukweli.
 
Wote waajiriwa wa serikali kasoro fatma siku kazi ikiisha hawawezi kusaidia timu mnaanza kutembeza bakuri tena,jifunzeni kwa simba ina bodi strong ya watu maproffessional na wenye makampuni.
 
When it comes to Soccer kinacho-matter ni kwenye Pitch hayo mengine sometimes yanaweza kuwa distraction..., Hao Jamaa kuleta Upuuzi wao wa kule na kuuleta Huku....
Lkn ukiwa na body yenye financial muscles kubwa.....ndipo unaweza kupata quality players wengi kutokana na kuwa na budget nono

Mfano
Uwepo wa Abasi Tarimba kuliifanya Yanga kupata mkataba mnono
 
Timu yeyote lazima ijengwe na watu wazito, wenye influencing power kubwa jamii ......hii ndio bodi ya wadhamini iliochaguliwa .....hii ndiyo maana halisi ya timu ya wananchi

Mheshimiwa bi Fatma karume

Mh. George mkuchika

Mh. Dr mwigulu nchemba

Mh. Anthony mavunde

Mh Abas Tarimba

Sasa nyie endelezeni kuwachagua kina kitale tundamani na mwijaku[emoji23]View attachment 2667364
Mafisadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom