mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Kama navyoiona Ac Milan ikijifia ndivyo navoiona Young African(Yanga).kwa nini nasema yanga inaweza kujifia ni kwa sababu ya kuingiza siasa kwenye mpira.Mashabiki wa Yanga na simba(watanzania)kila mtu hujiona kocha.Ndio maana sio ajabu kuona msemaji wa timu anazungumzia mambo ya benchi la ufundi au mwenyekiti kuzungumzia mambo ya ufundi uwanjani.
Katika klabu yetu kila mtu anajiona fundi kuliko mwenzake hali inayopelekea makundi na migogoro Katika klabu za Yanga na simba pia huwa hakuna siri,wao wakikaa kikao lazima wavujishe kwa wanahabari eti wakisema majina yao yasitajwe hiyo inapelekea taharuki kwa mashabiki na wanachama.
Kumng'oa Zahera kumefanyika kisiasa kutokana na mihemko ya mashabiki kule Mwanza lakini ukweli ni kwamba Zahera katupiwa mzigo lakin tatizo liko palepale ndani ya uongozi hasa ule wa juu kabisa.Ninaamini Yanga ITAFELI MISIMU SI CHINI YA 5 IJAYO.kwa sababu wapinzani wao Simba ya msimbazi imenipanga na iko kwenye right track.Sitegemei chochote zaidi ya matokeo mabovu hasa msimu huu.
Kwa data za uwanjani huwezi kumbeza Zahera kwa sababu kama Yanga ingeshinda mechi zote zilizobaki ingekuwa nyuma ya simba point 2 na ingekuwa ya 2 au 3.Lakin wanaanza upya binafasi sitegemei jipya kafika matokeo ya uwanjani kwa miaka 5 ijayo.
Mimi kama shabiki wa Yanga nasema tungemwacha Zahera amalize mkataba au msimu huu ndipo tumhukumu.Hapo Mwalala mnabebesha mzigo mkubwa kwa kuwa atakuwa yuko chini ya kivuli cha Zahera.Hapo yale maneno ya" bora zahera angebaki"yatakuwa lukuki.Au mwamta mwalala ambaye hatakuwa na power ili muanze kumpangia kikosi kuwa "sonso lazima acheze leo",hata kama majeruhi?
Kama vipi mtulie mtafute kocha mwingine nje na mwalala ambaye anauwezo mkubwa angalau sawa na wa kocha sa simba ila sio hao wengine