Yanga inaenda kufa kifo cha mende?

Yanga inaenda kufa kifo cha mende?

Unataka kupiga propaganda hapa.Hivi unadhani kwa nini timu ikipanda ligi kuu huwa inabadili baadhi ya wachezaji na benchi la ufundi?unataka kusema wachezaji wa kucheza vpl na polisi Tz ndo utacheza nao ukipangwa na wydad casablanca?kwa nini usipigwe 10 nje ndani kama wanamsimbazi?

Kimataifa na local unafananisha?you can't be serious.!!!
Zahera alifumua kikosi na kuleta wachezaji wapya kutoka nje ya nchi. Je hao wageni are they not international players? (inter nations). Hivi ni timu zipi hapa TZ unazoweza kuziita za kimataifa? Jibu ni Simba na Yanga. Je, kuna mtu alimkataza asisajili wachezaji wa kucheza ligi za kimataifa? Let us be realistic, basi kama unakubaliana na hoja yake mufilisi, kwa nini achukue wachezaji wa NJE, kuna value added gani kumtoa mtu DRC au Kenya au Zambia hata Zimbabwe au Brazil if he can not add value to your team? Nafikiri wakati umefika idara ya kazi iweke viwango ambavyo mchezaji kutoka nje awe navyo kimoja ni kuwa anatokea ligi ya daraja la kwanza pale anapocheza kabla ya kuingia nchini ili awe mentor. Nakumbuka zamani kama kwenu kuna watu wafupi tu, wanawake walikuwa wajanja wanachepuka na warefu ili wajaribu kuchanganya mbegu ili warefu wapatikane (joke)
 
Hapo pana hoja lakin je malengo ya klabu ni kuingia makundi ya CAF?Jibu ni hapana.Malengo ya klabu ni kurudisha ubingwa jangwani Klabu ya simba ilidhamiria kufika nusu final champions league lakin wakatolewa mwanzo wakafunika kombe maisha yanaendelea msimbazi.
Ukweli ni kwamba viongozi wamepiga chini kocha kwa sababu ya kelele za mashabiki.lakin si vinginevyo .

Unaweza kusajiri mchezaji wa kimataifa kwa ajili ya ligi ya ndani hakuna sheria inakataza.

Umeona mwenendo wa timu lakini, kushinda 1 bila nayo ya kujivunia?
 
Simba wamejipanga vipi? Wangejipanga wanefungwa na Mwadui? Hata kile ki timu cha Wamakonde wa Msumbiji UD SONGO kiliwatoa mapema tu.
Naona mnaanza kuiingiza Simba katika sakata isilohusika nalo la kufukuzwa kwa Zahera. Yaani timu yoyote ikiisumbua Simba basi inakuwa ndio reference msimu mzima, labda kwa kuwa si rahisi kusikia Simba kapoteza mechi
 
Simba wamejipanga vipi? Wangejipanga wanefungwa na Mwadui? Hata kile ki timu cha Wamakonde wa Msumbiji UD SONGO kiliwatoa mapema tu.
Kujipanga sio mpaka ushinde mechi zote lakin angalia saiz kiuongozi simba iko stable zaidi.Mi sina shida na kocha kuondoka ila shida ni je,timu imejipanga vipi uwanjani na nje ya uwanja?hapo ndo pananipa wasiwasi ila si kuwa naiombe mabaya Yanga maana hata mimi ni Yanga damu ila nna wasiwasi tu.
 
Sina shida na kocha kuondolewa shida ni mipango ya viongozi nje ya uwanja yaani kuweka mazingira mazuri ya kupata ushindi wa uwanjani.
Lakin hii ya kuhamishana vitengo itatubomoa.Ivi kama Dismas Ten hawezi kutoa alichonacho bora aondolewe kabisa ila hii unamhamisha tu ofisi eti saiz ni meneja wa timu je ataweza au ndo ubabaishaji naosema?
Umeona mwenendo wa timu lakini, kushinda 1 bila nayo ya kujivunia?
 
Hali bado ni tete ndani ya uongozi huu kuna viinimacho vingi. Kiufupi viongozi wajitathmini.Siiombei timu yangu vibaya halafu kila siku ya mechi pale taifa natoa buku 5 yangu.Naumia ila nao wajitafakari.
Naona umeamua kufukua uzi wako Mkuu.

Kwani imeshakufa hicho kifo cha mende nini?
 
Team wanatakiwa waajiri Mtendaji mkuu Ambae ataisaidia team na Afisa masoko watakao saidia team kupata vyamzo vipya vya Mapato .hela yote ya sasa ya team inaishia kwenye Band na Posho.kwa Mashabiki.Kikubwa viongozi wajitathmini suluhisho kuwa na team uenye ushindani na ishindani hautakiwi kuwaza Mshahara.
Hali bado ni tete ndani ya uongozi huu kuna viinimacho vingi. Kiufupi viongozi wajitathmini.Siiombei timu yangu vibaya halafu kila siku ya mechi pale taifa natoa buku 5 yangu.Naumia ila nao wajitafakari.
 
Lana ya Zahera haitaiacha Yanga Salama. Washabiki mwisho wa siku watakumbuka shuka wakati jogoo linawika kuashiria kumekucha, it will be too late.
 
Team wanatakiwa waajiri Mtendaji mkuu Ambae ataisaidia team na Afisa masoko watakao saidia team kupata vyamzo vipya vya Mapato .hela yote ya sasa ya team inaishia kwenye Band na Posho.kwa Mashabiki.Kikubwa viongozi wajitathmini suluhisho kuwa na team uenye ushindani na ishindani hautakiwi kuwaza Mshahara.
Ni kweli.Ni muhimu kuajiri mtendaji mkuu.Pia kuipeleka timu kwenye mabadiliko,ambayo tutakuwa tunamfumo bora wa kusimamia mapato.hata kama sio umiliki wa ntu mmoja kama simba.Ila Yanga inaweza kuwa na makampuni kibao yakawekeza na hali iliyopo ni ngumu kampuni inayojielewa kuweka mpunga wa maana.kama uongozi unashindwa mambo makubwa kama mishahara ya wachezaji
 
Mmmh
Screenshot_2019-12-10-00-02-30.jpeg
 
Back
Top Bottom