BABA BOMBASTIC
Senior Member
- Jul 10, 2024
- 146
- 246
Leo ni tarehe 7 thursday november 2024,yanga imefungwa mfululizo na Azam na Tabora,hii ni mzuri sana kwa watu wanaojua mpira hii inaitwa the calls,hii itawafanya Yanga wakae sawa kuangalia timu yao wapi panapovuja,
Nakuambia hivi the next Yanga baada ya haya matokeo itakuwa Yanga ya hatari sana,nafurahia Yanga kufungwa hata sijaumia kwa chochote maana najua wakati mnzuri mnakuja wa kufurahia ubingwa wa AFRICA'nyie itukaneni ipondeni,tukana wachezaji wote mpaka benchi la ufundi ipeni kashifa za kuzusha eti wanachomwa shindano,ila nawahakikishia leo hii Yanga inaenda kuweka kikao cha kutisha,
Na wanaenda kubadili kiwanja naona Yanga inaenda kuchukua kiwanja cha zanzibar kama kiwanja cha nyumbani,na hawatatumia kiwanja cha azam tena.
Yanga bingwa mpya wa AFRICA📌📌📌📌📌