Yanga inafungwa 2 na Mbao leo, Jumapili mnapigwa 6 na Pyramid

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
3,732
Reaction score
6,561
Kwa kuwa mmeamua kuloga badala ya kucheza mpira leo vyuramid lazima mfungwe na Mbao FC

Tupo tunasubiri mtu afungwe tatu bila na Jumapili ni sita bila.
 
Ule upepo wa kisulisuli leo unaanzia kwa vijana wa mbao na leo ni posa inatolewa. Jumapili wataolewa bila dalili yoyote na pyramids.
HADITHI IMEISHA TUSUBIRI MATOKEO.
 
Ule upepo wa kisulisuli leo unaanzia kwa vijana wa mbao na leo ni posa inatolewa. Jumapili wataolewa bila dalili yoyote na pyramids.
HADITHI IMEISHA TUSUBIRI MATOKEO.
SAIDJR ANAFUNGA
 
Ule upepo wa kisulisuli leo unaanzia kwa vijana wa mbao na leo ni posa inatolewa. Jumapili wataolewa bila dalili yoyote na pyramids.
HADITHI IMEISHA TUSUBIRI MATOKEO.
Kisulisuli kilianza na kimbunga Idai toka Msumbuji. Kikawaleta wamakonde wa UD Songo wakamwoa paka shume wa Msimbazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…