Yanga inafungwa 2 na Mbao leo, Jumapili mnapigwa 6 na Pyramid

Yanga inafungwa 2 na Mbao leo, Jumapili mnapigwa 6 na Pyramid

Mikia Fc wakifanya mazoezi wiki mbili akimfanyia Kagera sugar pale Gymkhana, halafu akafanya mazoezi siku 10 kumfanyia Mashujaa, yote hii eti alipe kisasi! Kweli Mikia wameisha, wasubiri mwakani tu, mwaka huu wamwache Yanga.
Watahitaji week mbili kwa ajili ya Namungo.
 
Back
Top Bottom