Mpaka sasa hivi Yanga shida yake ni beki wa kati na siyo kiungo mkabaji. Bangala anatosha kucheza namba 6, walete beki wa kati asaidiane na Job, walete winga na mshambuliaji wa kati kumsaidia Mayele.
Hii timu itakuwa bora zaidi ya hivi inavyoonekana na malalamiko ya wapinzani hayatakwisha.