Yanga inahitaji beki wa kati

Yanga inahitaji beki wa kati

Joined
Oct 19, 2022
Posts
62
Reaction score
59
Mpaka sasa hivi Yanga shida yake ni beki wa kati na siyo kiungo mkabaji. Bangala anatosha kucheza namba 6, walete beki wa kati asaidiane na Job, walete winga na mshambuliaji wa kati kumsaidia Mayele.

Hii timu itakuwa bora zaidi ya hivi inavyoonekana na malalamiko ya wapinzani hayatakwisha.
 
Ni sahihi mawazo yako nayakubali kwa 100%
 
Back
Top Bottom