Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia wanatakiww wampate Kilomoni......Kumekuwa na maneno kutoka kwa wachambuzi na wdau mbalimbali wakidai kuwa yanga Ili itoboe kwenye makundi nilazima wapate mtu kama Mayele, vipi kuhusu mahasimu wao Simba?
miso misondo...Kumekuwa na maneno kutoka kwa wachambuzi na wdau mbalimbali wakidai kuwa yanga Ili itoboe kwenye makundi nilazima wapate mtu kama Mayele, vipi kuhusu mahasimu wao Simba?
AseeeeTangu November 5 hadi leo simba amecheza mechi 5 bila kushinda yoyote.Amefunga goli 4 amefungwa goli 8, katika hizo 8 goli 5 alifungwa na timu kiboko ya mabishoo Club Le Athletic Internationale Dar es Salaam Young Africans.
Simba hatuna wafungaji,tuna wathenge watupuTangu November 5 hadi leo simba amecheza mechi 5 bila kushinda yoyote.Amefunga goli 4 amefungwa goli 8, katika hizo 8 goli 5 alifungwa na timu kiboko ya mabishoo Club Le Athletic Internationale Dar es Salaam Young Africans.