Jerry Muro ndo kiboko yake huyo Manara
eliamini
Naona umeamua kumtafutia mshikaji wako kazi baada ya kusota muda mrefu akipiga mboyoyo....sio lazima Yanga hata Stand United na Ndanda wqnasaka msemajiHuyu afisa habari Wa Simba amebaki anajibiwa na mashabiki mpaka ukiona mashabiki wanavyojibu Hondo zake, ni kama wamepaniki/wamepagawa.
Anaipiga Yanga kwa namna mbalimbali lakini yangu ni kama hawana mtu Wa kukabiliana nae.
Nikikumbuka kipindi cha Jerry Muro nadiriki kusema Bring back our Jeri Muro
Mmmmmmh mkwasa ana usomi gani?Nafikiri ni kwa vile Yanga haijaajiri muimba taarab kama yeye, Yanga imeajiri wasomi wenye kuelewa nini maana ushindi sio kuimba taarab kama huyo HM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliachana na Muro kwa sababu Yanga imevuka steji hiyo. Mbumbumbu fc bakieni na umbumbumbu wenuHuyu afisa habari Wa Simba amebaki anajibiwa na mashabiki mpaka ukiona mashabiki wanavyojibu Hondo zake, ni kama wamepaniki/wamepagawa.
Anaipiga Yanga kwa namna mbalimbali lakini yangu ni kama hawana mtu Wa kukabiliana nae.
Nikikumbuka kipindi cha Jerry Muro nadiriki kusema Bring back our Jeri Muro
Ukocha..hujui makocha wanasomea management.. Ndio maana Ulaya wanaitwa Managers
Tatizo la Jerry alikuwa anatukanaJerry Muro ndo kiboko yake huyo Manara
eliamini