OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kelele zote hizi unadai MNAFUKUZA MWIZI KIMYA KIMYA!!!?Ni mwendo tu wa kumfukuza mwizi kimya kimya. Maana hakuna namna nyingine. Mpaka mkubali wenyewe kwa hiyari kuwaachia wamiliki, kiti chao!
Timu yako imefungwa na Yanga mara 4 mfululizo! Kwa nini mnanuna timu nyingine nazo zikifungwa? Mnataka ifungwe timu yenu tu!Kelele zote hizi unadai MNAFUKUZA MWIZI KIMYA KIMYA!!!?
Kwani Simba walipofungwa 5-1 na Ynga hiyo hiyo msimu uliopita, walikuwa wanacheza huku wanataka?Wanacheza kama hawataki...
Waliosababisha weshalipwa ujira wao kwa kusajiliwa huko.Kwani Simba walipofungwa 5-1 na Ynga hiyo hiyo msimu uliopita, walikuwa wanacheza huku wanataka?
Pamoja na Aishi Manula bila shaka! Na yeye pia si ni duka letu la muda mrefu!!Waliosababisha weshalipwa ujira wao kwa kusajiliwa huko.
Lipo bench mkuu. Kudaka hadaki, kuuzwa hauzwi.Pamoja na Aishi Manula bila shaka! Na yeye pia si ni duka letu la muda mrefu!!
Kelvin Kijili na yeye alitusaidia kwenye ule ushindi wetu wa mwisho wa 1-0! Halafu na Camara naye alitobolewa na Max kule Zanzibar kwenye nusu fainali ya Kombe la shirikisho CRDB!! Na wenyewe tuwafanyeje?Lipo bench mkuu. Kudaka hadaki, kuuzwa hauzwi.
Kijili alijifunga bahati mbaya. Lile la Max goli halali kabisa kama la Kibu D alilomkanda Diara. Tujikite kwenye zile 5 mkuu. Hayo matokeo mengine hayana miujiza.Kelvin Kijili na yeye alitusaidia kwenye ule ushindi wetu wa mwisho wa 1-0! Halafu na Camara naye alitobolewa na Max kule Zanzibar kwenye nusu fainali ya Kombe la shirikisho CRDB!! Na wenyewe tuwafanyeje?