Yanga inalindwa kama Benki na timu rafiki

Yanga inalindwa kama Benki na timu rafiki

TAHADHARI !


Mashabiki wa Atletico de MAKOLO wamewehuka,hivyo unaombwa kama shabiki wa mabingwa wa nchi (Young Africans) Kuwa nao makini maana unaweza kumtakia heri ya sikukuu ya mwaka mpya yeye akadhani umemwambia "GUSA,ACHIA,TWENDE KWAO"

Niwaombe mashabiki wa Young Africans tujiepushe na hasira za Makolo ili tuoone mwaka Kwa heri !

Hakikisha ukimtamkia shabiki wa KOLOKWINYO "GUSA , ACHIA, TWENDE KWAO" uwe na mbio za kukuepusha na dhahama,vinginevyo Atletico de MAKOLO watakuua!

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
View attachment 3188472

Kuna kipa wa Dodoma Jiji hakuwahi kucheza mechi 13 lakini akadakishwa mechi ya Uto. Ila mechi iliyofuata ya Mashujaa kipa namba 1 alirudishwa.

Kwao Dodoma Jiji mechi ya Mashujaa ilikuwa muhimu kuliko ya Yanga
Mwakapenat, lini mtaacha kulia lia?

Msimu huu makolo ndo timu inaongoza kupata ushindi wa kubebwa, mechi mlizoshinda kihali hazifiki hata 5, ukitoa mechi mlizoshinda kwa penat za mchongo.
 
Back
Top Bottom