Yanga inamchapa Al Hilal kwao, Game itaisha ushindi kwa Yanga

Yanga inamchapa Al Hilal kwao, Game itaisha ushindi kwa Yanga

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Ni kicheko tuuuuu.... Kwa raha zangu. Al Hilal wamejichanganya sana.wameingia kwenye mfumo kipigo ni halal yao. Kama ilivyoandikwa Al mil shalluh tunawah aanith watalah sal namil kasas. Kisasa lazima kiwaangukie hawa mbwa.

Game imeisha.... Imesha mapema sana. Yaani mpaka raha. Natembea nacheka tu njiani kwa raha zangu. Yanga hii itatuua kwa furaha. Ibenge umejaa kwenye mfumo. Sumu haionjwi kwa kulambwa.

Nasema kama tusiposhinda leo. Kama tusiposhinda leo. Narudia. KAMA YANGA TUSIPOSHINDA LEO NIPIGWE BAN YA SIKU 3 NA NICHAPWE VIBOKO 30. Mbele ya Umma. Maana najiamini kuwa game imeisha. Leo mwanayanga tembea kifua mbele na ukiweza shika mdada wowote makalio haufanywi kitu. Leo ni siku ya furaha.
 
Mbona Kila MTU anakimbilia ban ya siku 3??... Toeni ahadi za wake zenu kushenyentwa endapo Mambo yataenda ndivyo sivyo
Wafanye kama huyu shetani hapa
 

Attachments

  • BracuszCadabra_20250111__1878061743152218443_1_18780615602008678420.mp4
    4.3 MB
  • BracuszCadabra_20250111__1878061743152218443_4_18780615204933591040.mp4
    9 MB
Back
Top Bottom