Saidi Mhando-zico wa Kilosa
Makumbi JUma-homa ya jiji
Juma Mkambi- Jenerali
Sekilojo Chambua-Footballer
Abubari Salum-Sure Boy
Athumani Juma chama-Jogoo
Omari Husein -Kaka kuona
Hanzuruni Rashidi-Kunguru
Juma shabani-Uncle J
Elias Michael-Nyoka mweusi
Fred Felix-Minziro
Salum Kabunda -ninja
nadhani hii imechangia sana kwa Yanga kutopata ubingwa wa soka wa Africa! unaingiza timu na mchezaji aitwae zicco wa kilosa, utamfunga kweli mmisri?
Tusheshimu majukwaa! Siasa IACHWE iwe siasa! Mpf! (chafya)!
How does it relate to political issues? Is Yanga a political party?
Naona Mods wapo Off duty leo.
Can I be a reliever for mods going off?
ni saidi mrisho zico wa kilosa kwa usahihisho!saidi Mhando- zico wa kilosa!