Yanga inaongoza duniani kwa kutoa majina ya kichizi kwa wachezaji wake!

Yanga inaongoza duniani kwa kutoa majina ya kichizi kwa wachezaji wake!

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,180
Reaction score
1,291
Saidi Mhando-zico wa Kilosa
Makumbi JUma-homa ya jiji
Juma Mkambi- Jenerali
Sekilojo Chambua-Footballer
Abubari Salum-Sure Boy
Athumani Juma chama-Jogoo
Omari Husein -Kaka kuona
Hanzuruni Rashidi-Kunguru
Juma shabani-Uncle J
Elias Michael-Nyoka mweusi
Fred Felix-Minziro
Salum Kabunda -ninja

nadhani hii imechangia sana kwa Yanga kutopata ubingwa wa soka wa Africa! unaingiza timu na mchezaji aitwae zicco wa kilosa, utamfunga kweli mmisri?
 
saidi Mhando- zico wa kilosa!
 
Wewe hujui maadili ya jf mambo ya Yanga unaweka kwenye jukwaa la siasa peleka katika jukwaa la entertiniment
 
said mwamba - kizota
kabongo hanore - winger teleza
 
How does it relate to political issues? Is Yanga a political party?
 
Naona Mods wapo Off duty leo.
Can I be a reliever for mods going off?
 
Ngoja hii thread ikaekae kwa muda maana.......Mamods leo weekend wanapata Vodka na whisky kiduchu wakirudi tu wanaiondoa...teheteheteh...............
 
Nilitaka kuuliza mwanzisha mada ni mgeni humu, kumbe ni mwenyeji ila kwa makusudi anaamua kuchanganya mada.
 
mimi nilijua nimepoa jukwaa. Mods pelekeni kunakohusika.
 
Saidi Mhando-zico wa Kilosa
Makumbi JUma-homa ya jiji
Juma Mkambi- Jenerali
Sekilojo Chambua-Footballer
Abubari Salum-Sure Boy
Athumani Juma chama-Jogoo
Omari Husein -Kaka kuona
Hanzuruni Rashidi-Kunguru
Juma shabani-Uncle J
Elias Michael-Nyoka mweusi
Fred Felix-Minziro
Salum Kabunda -ninja

nadhani hii imechangia sana kwa Yanga kutopata ubingwa wa soka wa Africa! unaingiza timu na mchezaji aitwae zicco wa kilosa, utamfunga kweli mmisri?

Zico wa kilosa hii nayo siasa?
 
mimi nilijua nimepoa jukwaa. Mods pelekeni kunakohusika.
 
Hakiamungu leo nimeamini bangi kweli sio nzuri. Duh! JUKWAA LA SIASA NA MZAHA...
 
Back
Top Bottom