Yanga inaongozwa kihuni kama kikundi cha singeli

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Taarifa hii kutoka SPORTPESA ina kamilisha tu maoni yetu kwamba Yanga SC inaongozwa “KISHIKAJI”. bila kufuata weledi wala utawala bora.

Klabu yenye viongozi imara wenye kufanyakazi kwa kufuata miiko ya uongozi haiwezi kujiingiza kwenye mambo ya KIHUNI kama haya.

Huwa najiulizaga maswali hivi kweli Yanga SC ina idara ya sheria? Kazi yake hasa nini? Mbona kila uchao Yanga wanaingia kwenye mgogoro wa kisheria (kimkataba). Morisson, Feisal, Sportpesa ni mifano tu, yako mengi.

Klabu ishachukua pesa ya SPORTPESA halafu inaenda kuchukua pesa HAIER kwajili ya kitu hicho hicho halafu kwa kuingia mikataba, bado kuna idara ya sheria ya klabu? Huyo mwanasheria kazi yake nini?

Rais wa Yanga SC ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM mpaka leo, Kampuni ya HAIER ni kampuni ambayo ni mshirika mkubwa wa GSM hapa Tanzania, wanapotaka kuitumia Yanga SC kuwekeza Rais wa klabu anasema nini.

Ndiyo maana anashindwa kufuata makataba wa Sportpesa anaamua kuingia wa haier kwakuwa unagusa maslahi yake ya kazini.

Tulikuwa maadui wakati tunatoa maoni ya mgongano wa kimaslahi kumhusu Rais wa klabu tukaitwa majina yote. Lakini hiki ndicho hasa ilikuwa maono yetu. Leo Yanga SC ndiyo hatakama madai itadaiwa klabu, hawa watu wanaweza hata kesho wakaondoka ila klabu itabaki inadaiwa kwa kushindwa kufuata matakwa ya kimkataba.

Bodi ya Wakurugenzi wa Yanga SC walipitishaje hii kitu? Bodi ambayo Makamu wake ni CEO wa Zanzibar Insurance Corporation unaetegemea ajue mambo ya mikataba ya kibiashara akasimama upande wa klabu kwakuwa Rais wake tayari ana maslahi na upande wa pili, lakini naye ni walewale tu, wakute mtandaoni sasa ngebe nyiingi.

BIN KAZUMARI MTIPA
 
KAMILISHA SENTENSI IFUATAYO

Yanga ukimtoa mzee Kikwete na Sunday Manara waliobakiiii ni ............
 
Kwa sababu Yanga, TOT, Jumuiya ya wazazi na CCM ni ndugu Wala usishangae Kwa hilo mkuu.
 
Huwa najiulizaga maswali hivi kweli Yanga SC ina idara ya sheria?
Utuombe radhi. Tuna wakili msomi kabisa, ingawa ana historia ya kushindwa kesi:

1675245837941.png
 
Wenzetu mbumbumbu wako kuanzia uongozini, bahati yao ile TFF ya wanasiasa inawafichia aibu.
 
Andiko refu lakini halijaonyesha kipengele chochote kilichovunjwa au kukiukwa kwenye mkataba.

Jemedari analalamikia Eng. Hersi kufanya kazi GSM na kuwa raisi wa Yanga lakini anasahau wana Yanga kwenye mkutano mkuu walilijua hili na kuamua kumpa uongozi sasa yeye anakosoa kama nani?
 
Taarifa hii kutoka SPORTPESA ina kamilisha tu maoni yetu kwamba Yanga SC inaongozwa “KISHIKAJI”. bila kufuata weledi wala utawala bora.

Klabu yenye viongozi imara wenye kufanyakazi kwa kufuata miiko ya uongozi haiwezi kujiingiza kwenye mambo ya KIHUNI kama haya.

Huwa najiulizaga maswali hivi kweli Yanga SC ina idara ya sheria? Kazi yake hasa nini? Mbona kila uchao Yanga wanaingia kwenye mgogoro wa kisheria (kimkataba). Morisson, Feisal, Sportpesa ni mifano tu, yako mengi.

Klabu ishachukua pesa ya SPORTPESA halafu inaenda kuchukua pesa HAIER kwajili ya kitu hicho hicho halafu kwa kuingia mikataba, bado kuna idara ya sheria ya klabu? Huyo mwanasheria kazi yake nini?

Rais wa Yanga SC ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM mpaka leo, Kampuni ya HAIER ni kampuni ambayo ni mshirika mkubwa wa GSM hapa Tanzania, wanapotaka kuitumia Yanga SC kuwekeza Rais wa klabu anasema nini.

Ndiyo maana anashindwa kufuata makataba wa Sportpesa anaamua kuingia wa haier kwakuwa unagusa maslahi yake ya kazini.

Tulikuwa maadui wakati tunatoa maoni ya mgongano wa kimaslahi kumhusu Rais wa klabu tukaitwa majina yote. Lakini hiki ndicho hasa ilikuwa maono yetu. Leo Yanga SC ndiyo hatakama madai itadaiwa klabu, hawa watu wanaweza hata kesho wakaondoka ila klabu itabaki inadaiwa kwa kushindwa kufuata matakwa ya kimkataba.

Bodi ya Wakurugenzi wa Yanga SC walipitishaje hii kitu? Bodi ambayo Makamu wake ni CEO wa Zanzibar Insurance Corporation unaetegemea ajue mambo ya mikataba ya kibiashara akasimama upande wa klabu kwakuwa Rais wake tayari ana maslahi na upande wa pili, lakini naye ni walewale tu, wakute mtandaoni sasa ngebe nyiingi.

BIN KAZUMARI MTIPA
Wewe jamaa mwanzoni nilidhani una akili kumbe kweli zipo ila ni zile za kukukumbusha kutawaza kwa kutumia kopo ukishakunya takataka wewe [emoji35]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Wewe na binti kazumari mnamatatizo ya akili, umeandika insha ndefu bila kuweka vifungu ambavyo vimevujwa itoshe kusema wewe ni looser
 
Unahoji mkataba ambao hujausoma wala hujui specific terms and conditions?

Hujui rights and duties of the parties?

Hujui who has the first right of refusal ?

Hujasikia other parties side story, Yaani sportpesa wameleta complaints tu wewe umeshatoa decision

Reference yako badala iwe kifungu kilichovunjwa unaleta maneno ya Oscar Oscar

Yale yale ya mwanetu Ajibu unanimbia mi niende kutafsiri ww kwann usiende insta ukawe mchekeshaji kama mchekeshaji mwenzako Oscar Oscar [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mbumbumbu akili zenu zipo kwenye sehemu zenu za kutolea kinyesi

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Taarifa hii kutoka SPORTPESA ina kamilisha tu maoni yetu kwamba Yanga SC inaongozwa “KISHIKAJI”. bila kufuata weledi wala utawala bora.

Klabu yenye viongozi imara wenye kufanyakazi kwa kufuata miiko ya uongozi haiwezi kujiingiza kwenye mambo ya KIHUNI kama haya.

Huwa najiulizaga maswali hivi kweli Yanga SC ina idara ya sheria? Kazi yake hasa nini? Mbona kila uchao Yanga wanaingia kwenye mgogoro wa kisheria (kimkataba). Morisson, Feisal, Sportpesa ni mifano tu, yako mengi.

Klabu ishachukua pesa ya SPORTPESA halafu inaenda kuchukua pesa HAIER kwajili ya kitu hicho hicho halafu kwa kuingia mikataba, bado kuna idara ya sheria ya klabu? Huyo mwanasheria kazi yake nini?

Rais wa Yanga SC ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM mpaka leo, Kampuni ya HAIER ni kampuni ambayo ni mshirika mkubwa wa GSM hapa Tanzania, wanapotaka kuitumia Yanga SC kuwekeza Rais wa klabu anasema nini.

Ndiyo maana anashindwa kufuata makataba wa Sportpesa anaamua kuingia wa haier kwakuwa unagusa maslahi yake ya kazini.

Tulikuwa maadui wakati tunatoa maoni ya mgongano wa kimaslahi kumhusu Rais wa klabu tukaitwa majina yote. Lakini hiki ndicho hasa ilikuwa maono yetu. Leo Yanga SC ndiyo hatakama madai itadaiwa klabu, hawa watu wanaweza hata kesho wakaondoka ila klabu itabaki inadaiwa kwa kushindwa kufuata matakwa ya kimkataba.

Bodi ya Wakurugenzi wa Yanga SC walipitishaje hii kitu? Bodi ambayo Makamu wake ni CEO wa Zanzibar Insurance Corporation unaetegemea ajue mambo ya mikataba ya kibiashara akasimama upande wa klabu kwakuwa Rais wake tayari ana maslahi na upande wa pili, lakini naye ni walewale tu, wakute mtandaoni sasa ngebe nyiingi.

BIN KAZUMARI MTIPA
Tuwekee na vipengele vya mkataba husika ili tujue wamevunja vipengele gani, unapobwata tu kama mlevi wa kimpumu atuwezi kukuelewa
 
Waache manyoka nyoka FC na timu yao
Mikataba FC
 
Back
Top Bottom