Yanga inatakiwa ipate golikipa mzawa wa kumpa changamoto Diara

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Hawa tulionao akina mshery na metacha hawapaswi kuwa yanga. Kuna magolikipa wazuri sana tunaona watatusaidia siku DIARA akiumia ila sio hawa madogo. Golikipa wa prison yona amos, golikipa wa mtibwa sugar toba fikiri na ibrahim parapanda wa singida fg. inatakiwa kila sub iwe ya moto hawa mmoja wapo atatufaa sana.
 
CRB wamushukuru sana Metacha vinginevyo Yanga wange qualify robo final wakiwa na mechi mbili mkononi
 
Hawa tulionao akina mshery na metacha hawapaswi kuwa yanga. Kuna magolikipa wazuri sana tunaona watatusaidia siku DIARA akiumia ila sio hawa madogo. Golikipa wa prison yona amos, golikipa wa mtibwa sugar toba fikiri na ibrahim parapanda wa singida fg. inatakiwa kila sub iwe ya moto hawa mmoja wapo atatufaa sana.
Kwa mimi Abutwalib Msheri ni kipa tena kipa haswaa.
Aimarishwe tu kiubora basi ila kwa talanta ya udakaji yuko vizuri.
 
mshery na metacha wale ni pazia tu .
Nafikiri nidhamu ndiyo inawabeba watu Kama mshery na Denis nkane lakini sio kipaji na kupambana .
Kaka hujawatizama vizuri hao watu.
Nkane anajua na ana kipaji aimarishwe tu zaidi.
Na Msheri ni kipa mzuri sema anahitaji muda kidogo tu.
Ana confidence na ana juhudi sio kama Metacha.
 
Mshery Kuna magoli 2 amefungwa nikiona haikuwa haki kwa golikipa wa Kiwango cha yanga , goli moja ilikuwa mechi ndani ya jamhuri Dodoma mfungaji alikuwa mbali akapiga shuti la juu Likampita akiwa ametoka golini na mechi ya pili dhidi ya prison goli la faulo .
Hao Makipa wa prison na mtibwa wanamzidi mshery Kiwango .
Halafu mshery ameanza kumuiga Diarra kujiamini wakati footwork yake haifanani na diara .
Yanga sasahivi ni timu ya kugombania makombe ya caf imeshatoka malengo ya nbc cup , wachezaji wakisajiliwa hakuna muda wa kusubiri kinachotakiwa ni matokeo ya haraka .
Nkane anakipaji tatizo nguvu hana , angekuwa na kasi sana ingeweza kuziba pengo la kukosa nguvu .
 
Vyote vinatengenezwa hivyo mkuu kama mwalimu akiamua.
Kwangu mimi hiyo ni bahati mbaya tu katika hizo mechi ila Mshery amefanya mengi mazuri kuliko madhaifu.
 
mshery na metacha wale ni pazia tu .
Nafikiri nidhamu ndiyo inawabeba watu Kama mshery na Denis nkane lakini sio kipaji na kupambana .
Nkane anafuga kitambi pale Utopolo
 
Hawa tulionao akina mshery na metacha hawapaswi kuwa yanga. Kuna magolikipa wazuri sana tunaona watatusaidia siku DIARA akiumia ila sio hawa madogo. Golikipa wa prison yona amos, golikipa wa mtibwa sugar toba fikiri na ibrahim parapanda wa singida fg. inatakiwa kila sub iwe ya moto hawa mmoja wapo atatufaa sana.
kuna yule kipa wa Mlandege nilimshuhudia mapinduzi cup 2924, dogo yuko vizuri kuliko shati Metacha
 
Back
Top Bottom