OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Hawa tulionao akina mshery na metacha hawapaswi kuwa yanga. Kuna magolikipa wazuri sana tunaona watatusaidia siku DIARA akiumia ila sio hawa madogo. Golikipa wa prison yona amos, golikipa wa mtibwa sugar toba fikiri na ibrahim parapanda wa singida fg. inatakiwa kila sub iwe ya moto hawa mmoja wapo atatufaa sana.