OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
CRB wamushukuru sana Metacha vinginevyo Yanga wange qualify robo final wakiwa na mechi mbili mkononiHawa tulionao akina mshery na metacha hawapaswi kuwa yanga. Kuna magolikipa wazuri sana tunaona watatusaidia siku DIARA akiumia ila sio hawa madogo. Golikipa wa prison yona amos, golikipa wa mtibwa sugar toba fikiri na ibrahim parapanda wa singida fg. inatakiwa kila sub iwe ya moto hawa mmoja wapo atatufaa sana.
Meshack AbelKuna kile chuma kipo Simba sijui wanamuitaje, pale Simba kaenda kuuwa uwezo wake tu bro anajua sana.
Ewaaa huyu ni mwamba ila wamemfungia ndani.Meshack Abel
Kwa mimi Abutwalib Msheri ni kipa tena kipa haswaa.Hawa tulionao akina mshery na metacha hawapaswi kuwa yanga. Kuna magolikipa wazuri sana tunaona watatusaidia siku DIARA akiumia ila sio hawa madogo. Golikipa wa prison yona amos, golikipa wa mtibwa sugar toba fikiri na ibrahim parapanda wa singida fg. inatakiwa kila sub iwe ya moto hawa mmoja wapo atatufaa sana.
Kaka hujawatizama vizuri hao watu.mshery na metacha wale ni pazia tu .
Nafikiri nidhamu ndiyo inawabeba watu Kama mshery na Denis nkane lakini sio kipaji na kupambana .
wewe ulivyo na akili ndogo unazani kuwa wakala wa mchezaji ni rahisi kama kuwa wakala wa m pesa.Asante WAKALA Umesahau kuweka Namba Hersi akutafte
Mshery Kuna magoli 2 amefungwa nikiona haikuwa haki kwa golikipa wa Kiwango cha yanga , goli moja ilikuwa mechi ndani ya jamhuri Dodoma mfungaji alikuwa mbali akapiga shuti la juu Likampita akiwa ametoka golini na mechi ya pili dhidi ya prison goli la faulo .Kaka hujawatizama vizuri hao watu.
Nkane anajua na ana kipaji aimarishwe tu zaidi.
Na Msheri ni kipa mzuri sema anahitaji muda kidogo tu.
Ana confidence na ana juhudi sio kama Metacha.
Vyote vinatengenezwa hivyo mkuu kama mwalimu akiamua.Mshery Kuna magoli 2 amefungwa nikiona haikuwa haki kwa golikipa wa Kiwango cha yanga , goli moja ilikuwa mechi ndani ya jamhuri Dodoma mfungaji alikuwa mbali akapiga shuti la juu Likampita akiwa ametoka golini na mechi ya pili dhidi ya prison goli la faulo .
Hao Makipa wa prison na mtibwa wanamzidi mshery Kiwango .
Halafu mshery ameanza kumuiga Diarra kujiamini wakati footwork yake haifanani na diara .
Yanga sasahivi ni timu ya kugombania makombe ya caf imeshatoka malengo ya nbc cup , wachezaji wakisajiliwa hakuna muda wa kusubiri kinachotakiwa ni matokeo ya haraka .
Nkane anakipaji tatizo nguvu hana , angekuwa na kasi sana ingeweza kuziba pengo la kukosa nguvu .
Pamoja na refa alie wanyima YANGA goli la KIBABAGE kule Ghana.CRB wamushukuru sana Metacha vinginevyo Yanga wange qualify robo final wakiwa na mechi mbili mkononi
Vipi kuhusu lile goli la Kibabage lililokataliwa kule Ghana?CRB wamushukuru sana Metacha vinginevyo Yanga wange qualify robo final wakiwa na mechi mbili mkononi
Huyu wa prison atafaaAmos Yona naunga mkono ana quality za Diarra kabisa
Nkane anafuga kitambi pale Utopolomshery na metacha wale ni pazia tu .
Nafikiri nidhamu ndiyo inawabeba watu Kama mshery na Denis nkane lakini sio kipaji na kupambana .
kuna yule kipa wa Mlandege nilimshuhudia mapinduzi cup 2924, dogo yuko vizuri kuliko shati MetachaHawa tulionao akina mshery na metacha hawapaswi kuwa yanga. Kuna magolikipa wazuri sana tunaona watatusaidia siku DIARA akiumia ila sio hawa madogo. Golikipa wa prison yona amos, golikipa wa mtibwa sugar toba fikiri na ibrahim parapanda wa singida fg. inatakiwa kila sub iwe ya moto hawa mmoja wapo atatufaa sana.