Yanga inatakiwa ipate golikipa mzawa wa kumpa changamoto Diara

Kuna yule dogo wa Simba alitoka Prison Abeli nadhani ni kipa mzuri pia.
 
naunga mkono hoja japo sijui ni kipa yupi wamchukue
 
Msheri na Metacha wote hawana hadhi ya kucheza timu kubwa kama Simba au Yanga, sijui ilikuwaje wakafika pale, golikipa za kubutua butua zishapitwa na wakati pia position zao langoni ni very poor! Kuna golikipa wa kmc kama ni mbongo yule anastahili kuwa timu kubwa kama yanga au simba.
 
Goalkeeper akishafiti kwenye mfumo hatakiwi apate changamoto. Once ukileta hizo inakubidi uanze kurotate magolikipa na hapo ndio unaharibu. Na ukumbuke ukipoteza mechi mbili tatu ligi kuu ni gape kubwa Sana unajenga la kukosa ubingwa
 
Upande wa pili wa shilingi, hao makipa wakija watakalia benchi na kuwaulia viwango vyao tu.
Umesahau ya Johora? ...... ama unadhani Johora anakiwango kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…