YANGA inatia aibu

YANGA inatia aibu

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Ona official website yao, last time ilikuwa updated July.
Hii ni aibu sana kwa club yenye wapenzi duniani kote.
www.yangasc.com
 
wenyewe watadai wanacheza mpira. hivyo vya mitandao mara facebook, mara official site ni ubishoo mtupu.
kama we unataka wasaidie basi kuweka up to date.
 
wenyewe watadai wanacheza mpira. hivyo vya mitandao mara facebook, mara official site ni ubishoo mtupu. <br />
kama we unataka wasaidie basi kuweka up to date.
Na ukongwe wa klabu yenu hamna hata uwanja kazi yenu longolongo tu.
Karibuni Chamazi, kwetu tulio serious na mpira
 
Unashangaa Yanga ,mbona ikulu hawana website hadi leo
 
Back
Top Bottom