Yanga inatosha!

Yanga inatosha!

Kohava

Member
Joined
Mar 22, 2024
Posts
45
Reaction score
50
Ni fahari iliyopitiliza, lakini hali hii itadumaza soka la Bongo. Yanga imeendelea kupaa kiufundi na kuzipita timu nyingine kwa mbali, ikiwemo mtani wake Simba, huku sisi mashabiki wa Azam tukikomaa na timu zingine ambazo zina uwezo wa wastani, ikiwemo Makolowidi.

Kufungwa mfululizo kwa Makolowidi kunadhoofisha soka letu, hali inayosababishwa na Yanga kutawala kiasi kwamba timu zilizobaki zimebaki kupeana ushindani zenyewe kwa zenyewe.

Hii ni kwa sababu Yanga ipo kileleni, na ubingwa wake unaonekana kuwa mgumu kushindaniwa.

Mwenyezi Mungu, tusaidie timu yetu ya Azam FC ishike nafasi ya pili! Ameen!
 
Umekaa kinoko kweli Hadi unatia aibu....ndo shida ya kukubali kushikwa makalio na mwanaume mwenzio...ushaanza kubinua vidole juu sasa
 
Umekaa kinoko kweli Hadi unatia aibu....ndo shida ya kukubali kushikwa makalio na mwanaume mwenzio...ushaanza kubinua vidole juu sasa
Yamekua kama mazezeta...yanaona Yanga ndo wa kwanza kushinda back to back..hakuna jipya...yani mi uzi kila dkk...huyo ni utopolo hana cha U Azam wala nini
Goli lenyewe la kujifunga...
 
Yamekua kama mazezeta...yanaona Yanga ndo wa kwanza kushinda back to back..hakuna jipya...yani mi uzi kila dkk...huyo ni utopolo hana cha U Azam wala nini
Goli lenyewe la kujifunga...
Ila muda utasema....wa kuongea tulikuwa siye sio wao
 
Kwahiyo mmefungwa makolo unataka na sisi utopolo tuhuzunike? Kweli nyie mbumbumbu khaaa
Naona mko busy kuchekelea kama vile mmechukua kombe la dunia..baada ya kuzawadiwa goli..
Mazezeta fc...
 
Acha ujinga weweeee... hujawahi kutufunga mara 3 mfululiza hata kipind Yanga inatembeza Bakuli choka mbaya, hujawah kufany kile tunakufanya wewe
Juzi mlitufunga tulijifunga¿¿¿mbona mnashabikia bao ambalo sio la mchezaji wenu...sema tumeshinda kwa kanuni sio umetufunga eboo...
 
Yamekua kama mazezeta...yanaona Yanga ndo wa kwanza kushinda back to back..hakuna jipya...yani mi uzi kila dkk...huyo ni utopolo hana cha U Azam wala nini
Goli lenyewe la kujifunga...
Kijili kaweka waaaaaaaah
 
Juzi mlitufunga tulijifunga¿¿¿mbona mnashabikia bao ambalo sio la mchezaji wenu...sema tumeshinda kwa kanuni sio umetufunga eboo...
Point kapewa nani? Kweli Ngungus Boy ataendelea kuwepo hapo umbumbumbuni
 
Back
Top Bottom