Ni fahari iliyopitiliza, lakini hali hii itadumaza soka la Bongo. Yanga imeendelea kupaa kiufundi na kuzipita timu nyingine kwa mbali, ikiwemo mtani wake Simba, huku sisi mashabiki wa Azam tukikomaa na timu zingine ambazo zina uwezo wa wastani, ikiwemo Makolowidi.
Kufungwa mfululizo kwa Makolowidi kunadhoofisha soka letu, hali inayosababishwa na Yanga kutawala kiasi kwamba timu zilizobaki zimebaki kupeana ushindani zenyewe kwa zenyewe.
Hii ni kwa sababu Yanga ipo kileleni, na ubingwa wake unaonekana kuwa mgumu kushindaniwa.
Mwenyezi Mungu, tusaidie timu yetu ya Azam FC ishike nafasi ya pili! Ameen!