Yanga inatumia pesa nyingi kwenye usajili na pesa nyingi kupata ushindi

Hili ninalosema ni jambo ambalo wengi hawatataka kukubaliana nalo lakini ntalisema ili kuokoa jahazi katika soka la Tanzania.Mimi binafsi ni mpenzi wa mpira wa miguu na michezo kadhaa toka mwaka 1990. Naufaham mpira wa tz kwa kiasi flan na huwa sipendi kuwa mnafiki kuwa siwezi shabikia mpira wetu nikashabikia wa england, spain n.k though huko pia nina team nazipenda. Ni muda mrefu klabu ya Dar Young African imekuwa ikijitahidi kusajili wachezaji wa kimataifa kwa gharama kubwa magazetin n.k ingawa ukweli pia kuna wachache tunaufaham. Ni jambo jema kuwa na team nzuri na tunaiombea yanga iwe team nzuri. Lakin ninalotaka kusema ni kuwa gharama inazotumia yanga kusajili basi ziwe ni chanzo cha ushindi uwanjani na si tena kutumia pesa nying ili kushinda. Jana kwenye uzi wa live updates nlisema kuwa kuna mdau alinambia Yanga itashinda bao nne. Huyo alikuwa ni mmoja ya wachezaji wa team ya JKT Ruvu aliyesema bila kusita kuwa wanaingia uwanjani tayari wakiwa wanajua kuwa Yanga inatakiwa ishinde nne na kuwa iwe iweje lazima mchezaji flan naye ashinde ili awe na goal nying pia. Mchezaji huyo alinambia kuwa anajua kwa nini yanga itashinda nne na yeye hana namna ya kuzuia kwa kuwa anajua wahusika ni akina nani. Aliomba nisimtaje ila niwaambie wana kandanda kuwa matokeo tayari yanajulikana hivyo wasiwe na mshawasha na pambano hilo. Nliumia sana kwa sababu napenda mpira wa tanzania ukue. Manji anatuharibia soka letu kwa kutafuta utukufu.

Hii mada yako mdau ina tuhuma nzito tatizo ni uthibitisho hakuna! mimi kama mimi niliiangalia ile mechi mwanzo mwisho na kwa uelewa wangu wa mpira, matokeo ya ile mechi hayakupangwa!

Hofu yangu inawezekana huyo mchezaji alikuambia tu kama njia ya kujihami. Golikipa Shaaban Dihile alifanya kazi ya ziada kuokoa magoli mengi ya wazi siku ile na hata wachambuzi wa Azam tv walimsifia kwa hilo!

Achilia hilo, Jkt Ruvu inawezeje kupata ujasiri wa kuuza mechi ilhali iko mkiani mwa msimamo wa ligi na kuna uwezekano wa kushuka daraja! mbaya zaidi ni mwaka wa ngapi huu inafungwa na Yanga? tangu alipokuwepo Minziro taarifa hizi zilisikika kisa Minziro ni Yanga damu!

Tuachane na hilo, tangu msimu wa ligi uanze Jkt Ruvu imefungwa mechi ngapi? hawakufungwa 5-1 na Mgambo? tena uwanja wao wa nyumbani? au nayo waliuza kwa Mgambo fc? walifungwa pia na Simba!

Ambacho tunatakiwa kujifunza ni kwamba Jkt Ruvu ni timu ya jeshi na inapitia michakato mbalimbali mfano wakati flani baadhi ya wachezaji wake kwenda depo katikati ya msimo, na hata wakishuka daraja ni kazi nyepesi tu kwao kupanda tena msimu unaofwata kama ndugu zao Ruvu Shooting hivyo hawana cha kupoteza. Tuamini katika mpira huwa kuna upepo mbaya unaweza kuipitia timu na ikafanya vibaya kama ilivyo kwa Chelsea sasa na Mtibwa fc msimu uliopita.

Nimeona na mimi nitoe maoni yangu kama mdau wa michezo. Hata Yanga kama zilivyo timu nyingine za mpira wa miguu inaweza kushinda, kutoa sare na hata kufungwa na ndio maana ilifungwa 2-0 na coastal union na coast naye akafungwa na ndanda mechi iliyofuata

Cha msingi timu zote za ligi kuu zijipange kwa matokeo mazuri na kuondoa hii dhana kupanga matokeo ingawa siwezi kukataa lolote linaweza kutokea ktk mpira.
 
Hivi manjua kuna timi inaenda kucheza na Team X then hii team Y hata nauli haina inasafirishwa na team X au inawekwa kambini na team X ? haya mambo sisi wengine tunayafaham sema tunanyamaza .mechi zinauzwa sana tu na pia kuna team zinaenda kutoa pesa kwa team b ili ifanye juu chini iifunge team c. haya yote yapo. kama mnamkatalia huyo jamaa mnakataa kwa kuwa hamjui au mnajifanya hamjui. tunayajua sisi wengine mechi zinauzwa sana tena sana. na zinanunuliwa sana tena sana. na tunafaham kuwa kuna team zinafundishwa na makocha wapenzi team ya simba au yanga so wanapokutana nazo wanaziachia mechi hizo point tatu. ninyi hamjiulizi hizi team zetu kwa nini hazifanyi vizuri nje?
 
Tatizo hakuna shabiki wa mpira huku kuna mashabiki wa simba Yanga. Viongoz wa soka wabovu, mashabiki vimeo tusitegemee soka letu likue. Kiwango cha soka letu kinareflect akili zetu
 
watu wanakataa kwa sababu ya ushabiki. ila anayosema sodoku ni kweli na ni kweli ushahidi upo. tunafaham kuna wachezaji wanapewa pesa wapate cards nyekundu au watolewe, tunafaham kuna wachezaji wanapewa pesa wacheze rafu au washike mpira eneo lao la hatari wasababishe faulo. tunafaham mechi ile ya simba na yanga simba ikafungwa mbili kiongozi mmoja wa simba alimhonga mwamuzi ili simba ifungwe apate sababu ya kumfukuza kocha. tunafaham na mwamuzi alionesha ishara mapema kabisa. tunafaham kuwa azam waliipatia pesa nzuri african sports waifunge yanga huko tanga. tunafaham vizuri tu. tunafaham yanga ilifanya nini kuhakikisha inasawazisha huko mbeya kwa prison. simba yanga zina wachezaji wapenzi kwenye team pinzani.zina makocha wapenzi kwenye team pinzani. na ndo maana mwambusi alikuwa nauza kila mechi ya mbeya city kwa yanga ni mpenzi sana wa yanga. tunafaham kuna viongoz wa azam mashabiki wa simba na wa yanga. haya mambo anayozungumza Sodoku ni halisi. mechi zinapangwa ligi kuu na ligi daraja la kwanza.wachezaji,viongozi na makocha wanafanya hii michezo kuhujumu team na kuharibu soka la tanzania. na pia wanahujumiana wenyewe kwa wenyewe. MSIBISHE KAMA HAMJUI NA MSILETE USHABIKI HUMU NDANI. KAMA HAMJUI ULIZENI watu wana matokeo ya mechi mara nyingine kabla hata mechi hazijaanza.
 
watu wanakataa kwa sababu ya ushabiki. ila anayosema sodoku ni kweli na ni kweli ushahidi upo. tunafaham kuna wachezaji wanapewa pesa wapate cards nyekundu au watolewe, tunafaham kuna wachezaji wanapewa pesa wacheze rafu au washike mpira eneo lao la hatari wasababishe faulo. tunafaham mechi ile ya simba na yanga simba ikafungwa mbili kiongozi mmoja wa simba alimhonga mwamuzi ili simba ifungwe apate sababu ya kumfukuza kocha. tunafaham na mwamuzi alionesha ishara mapema kabisa. tunafaham kuwa azam waliipatia pesa nzuri african sports waifunge yanga huko tanga. tunafaham vizuri tu. tunafaham yanga ilifanya nini kuhakikisha inasawazisha huko mbeya kwa prison. simba yanga zina wachezaji wapenzi kwenye team pinzani.zina makocha wapenzi kwenye team pinzani. na ndo maana mwambusi alikuwa nauza kila mechi ya mbeya city kwa yanga ni mpenzi sana wa yanga. tunafaham kuna viongoz wa azam mashabiki wa simba na wa yanga. haya mambo anayozungumza Sodoku ni halisi. mechi zinapangwa ligi kuu na ligi daraja la kwanza.wachezaji,viongozi na makocha wanafanya hii michezo kuhujumu team na kuharibu soka la tanzania. na pia wanahujumiana wenyewe kwa wenyewe. MSIBISHE KAMA HAMJUI NA MSILETE USHABIKI HUMU NDANI. KAMA HAMJUI ULIZENI watu wana matokeo ya mechi mara nyingine kabla hata mechi hazijaanza.

Hii mada yako mdau ina tuhuma nzito tatizo ni uthibitisho hakuna! mimi kama mimi niliiangalia ile mechi mwanzo mwisho na kwa uelewa wangu wa mpira, matokeo ya ile mechi hayakupangwa!

Hofu yangu inawezekana huyo mchezaji alikuambia tu kama njia ya kujihami. Golikipa Shaaban Dihile alifanya kazi ya ziada kuokoa magoli mengi ya wazi siku ile na hata wachambuzi wa Azam tv walimsifia kwa hilo!

Achilia hilo, Jkt Ruvu inawezeje kupata ujasiri wa kuuza mechi ilhali iko mkiani mwa msimamo wa ligi na kuna uwezekano wa kushuka daraja! mbaya zaidi ni mwaka wa ngapi huu inafungwa na Yanga? tangu alipokuwepo Minziro taarifa hizi zilisikika kisa Minziro ni Yanga damu!

Tuachane na hilo, tangu msimu wa ligi uanze Jkt Ruvu imefungwa mechi ngapi? hawakufungwa 5-1 na Mgambo? tena uwanja wao wa nyumbani? au nayo waliuza kwa Mgambo fc? walifungwa pia na Simba!

Ambacho tunatakiwa kujifunza ni kwamba Jkt Ruvu ni timu ya jeshi na inapitia michakato mbalimbali mfano wakati flani baadhi ya wachezaji wake kwenda depo katikati ya msimo, na hata wakishuka daraja ni kazi nyepesi tu kwao kupanda tena msimu unaofwata kama ndugu zao Ruvu Shooting hivyo hawana cha kupoteza. Tuamini katika mpira huwa kuna upepo mbaya unaweza kuipitia timu na ikafanya vibaya kama ilivyo kwa Chelsea sasa na Mtibwa fc msimu uliopita.

Nimeona na mimi nitoe maoni yangu kama mdau wa michezo. Hata Yanga kama zilivyo timu nyingine za mpira wa miguu inaweza kushinda, kutoa sare na hata kufungwa na ndio maana ilifungwa 2-0 na coastal union na coast naye akafungwa na ndanda mechi iliyofuata

Cha msingi timu zote za ligi kuu zijipange kwa matokeo mazuri na kuondoa hii dhana kupanga matokeo ingawa siwezi kukataa lolote linaweza kutokea ktk mpira.
 
watu wanakataa kwa sababu ya ushabiki. ila anayosema sodoku ni kweli na ni kweli ushahidi upo. tunafaham kuna wachezaji wanapewa pesa wapate cards nyekundu au watolewe, tunafaham kuna wachezaji wanapewa pesa wacheze rafu au washike mpira eneo lao la hatari wasababishe faulo. tunafaham mechi ile ya simba na yanga simba ikafungwa mbili kiongozi mmoja wa simba alimhonga mwamuzi ili simba ifungwe apate sababu ya kumfukuza kocha. tunafaham na mwamuzi alionesha ishara mapema kabisa. tunafaham kuwa azam waliipatia pesa nzuri african sports waifunge yanga huko tanga. tunafaham vizuri tu. tunafaham yanga ilifanya nini kuhakikisha inasawazisha huko mbeya kwa prison. simba yanga zina wachezaji wapenzi kwenye team pinzani.zina makocha wapenzi kwenye team pinzani. na ndo maana mwambusi alikuwa nauza kila mechi ya mbeya city kwa yanga ni mpenzi sana wa yanga. tunafaham kuna viongoz wa azam mashabiki wa simba na wa yanga. haya mambo anayozungumza Sodoku ni halisi. mechi zinapangwa ligi kuu na ligi daraja la kwanza.wachezaji,viongozi na makocha wanafanya hii michezo kuhujumu team na kuharibu soka la tanzania. na pia wanahujumiana wenyewe kwa wenyewe. MSIBISHE KAMA HAMJUI NA MSILETE USHABIKI HUMU NDANI. KAMA HAMJUI ULIZENI watu wana matokeo ya mechi mara nyingine kabla hata mechi hazijaanza.

Sasa kulalamika tu bila ushahidi inatusaidia nini? mbona hiyo yanga ilipofungwa na coastal union hamjasema wameuza mechi? kama kuna ushahidi ni vyema mkauweka wazi au peleka ushahidi wako kwenye vyombo husika. Haya mambo ya kuhisi na kufikirika hayana tija kwa mpira wa Tanzania.

Kuna tofauti kubwa kwa mchezaji anayechezea klabu kubwa na anayetimiziwa mahitaji yake yote na yule wa klabu ndogo anayekumbwa na matatizo lukuki nje na ndani ya uwanja ni sawa? kama ndoto yako ni kuona timu kubwa zikifanya vibaya kwenye mechi zao huku zikiwa zimewekeza vya kutosha basi nikutakie kila la heri.

Kwa mtindo huu basi Bayern Munich na Barcelona watakua ni magwiji wa kununua mechi maana kila mchezo wao ni ushindi tu! Yaani una timu/kikosi kizuri halafu hutakiwi kushinda!!
 
Sisi tunaojua mambo ya soka tunalijua hilo kitambo tu....hata ile mechi ya prisons ni mipango tu imefanyika....lakini ilikuwa tayari...
 
Inawezekana ukawa sahihii na round ya kwanza walipokutana simba na yanga yanga walitamba wanashinda 2 na wakashinda kwa hiyo simba waliuza? Na tunavyoenda kubet tunasema barcelona anashinda bao3 na anashinda tunakuwa tumemnunulia mechi tukiwa huku Africa?
 
Back
Top Bottom