Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mwenendo wa Yanga katika ligi kuu Tanzania inawatesa sana mashabiki hasa wa Simba ambao wamekuwa wakiibeza timu yetu,ambayo imekuwa ikiendeshwa kwa asilimia kubwa na michango ya wadau wa Yanga.
Sisi tunacheza objective football,siyo sex football
Ushindi wa leo ugenini pale sokoine umezidi kuwafurahisha wana Yanga wengi na kuwa na morali kubwa ya kuchangia timu.
Full time 2-1 Makambo kaweka yote