Yanga inawatesa sana watu,haya ya Sokoine ni balaa

Yanga inawatesa sana watu,haya ya Sokoine ni balaa

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Mwenendo wa Yanga katika ligi kuu Tanzania inawatesa sana mashabiki hasa wa Simba ambao wamekuwa wakiibeza timu yetu,ambayo imekuwa ikiendeshwa kwa asilimia kubwa na michango ya wadau wa Yanga.
Sisi tunacheza objective football,siyo sex football
FB_IMG_1546091839281.jpg

Ushindi wa leo ugenini pale sokoine umezidi kuwafurahisha wana Yanga wengi na kuwa na morali kubwa ya kuchangia timu.

Full time 2-1 Makambo kaweka yote
 
'Inawatesa watu' Du hii ni tungo tata...fafanua. Mzunguko wa 18 bado mingine 20 mbele.anayecheka mwisho ndiye anayecheka sana
 
Back
Top Bottom