Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Utachekaje mwisho bila kuanza kuonyesha tabasamu leo?'Inawatesa watu' Du hii ni tungo tata...fafanua. Mzunguko wa 18 bado mingine 20 mbele.anayecheka mwisho ndiye anayecheka sana
Atakuja mbumbumbu wao tu japo saiz simsikii tena tangu wametobolewa na mashujaa