sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Inapoitwa timu ya wananchi basi ujue inajitoa walau kusaidia wananchi, Yanga ni kawaida sana kuchangia damu, wakienda mikoani karibu kila mechi watafikia kituo cha watoto yatima, waathirika wa dawa za kulevya, n.k.
Yanga imecheza kwa kuzingatia kwamba Namungo ina majonzi ya msiba wa mashabiki wanne kupata ajali .
Yanga iliwafariji Namungo kwa kucheza chini ya kiwango ili nao waonekane wana defence na wana kipa mzuri ila kwa jinsi Namungo walivyoikamia mechi na rafu ni kama vile walisahau wana msiba, mwishoni mwishoni huku dakika za 85 ndio Yanga tunayoijua ikawashwa ikafunga goli moja tu na shughuli ikaishia hapo maana tupo kwenye maombolezo ilhali Namungo ni kama hawakuupa uzito msiba.