[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AaahhhaaaNjoo Morocco tumcheki mbabe wa kombe la mapinduzi
Kama Al Hilal ni mbabe mbona hajatoboa mbele Zaidi ya makundi?.Kuna mmoja alikutana na kina vipers, horoya big bullets ( wadhaifu)
Kuna mwingine alikutana na Al hilal ( mbabe)
Chama Cha mpira wa mdomoni Tanzania (CHADOMO)Baada ya kuendelea kuifanyia tathimini ( uchambuzi) mechi ya wydadi Casablanca ( mabingwa wa Africa) na Makolo mabingwa wa .mapinduzi cup nimekuja kugundua yafuatayo
Kwa mpira wa spidi wanaocheza Yanga+ counter attack Yanga wangeweza kumuadhibu mwarabu ( ywdad) Kwa magoli zaidi ya 5
Uwepo wa wachezaji wasio wazito ( loading...) Kwenye kufanya maamuzi ya kufunga....kama mayele, musonda na Mwamnyeto Yanga ingempiga haswa wydadi Kwani walielemewa hasa
NB: tumuombee huyu kolo (bingwa wa mapinduzi cup) apigwe tu [emoji23]View attachment 2601388
Idadi kubwa ya mashabiki wa Yanga wanachangamoto ya afya ya akili akiwemo huyu jamaa yetu,tumekusamehe bure sababu ya changamoto uliyonayo ya kiafya.Baada ya kuendelea kuifanyia tathimini ( uchambuzi) mechi ya wydadi Casablanca ( mabingwa wa Africa) na Makolo mabingwa wa .mapinduzi cup nimekuja kugundua yafuatayo
Kwa mpira wa spidi wanaocheza Yanga+ counter attack Yanga wangeweza kumuadhibu mwarabu ( ywdad) Kwa magoli zaidi ya 5
Uwepo wa wachezaji wasio wazito ( loading...) Kwenye kufanya maamuzi ya kufunga....kama mayele, musonda na Mwamnyeto Yanga ingempiga haswa wydadi Kwani walielemewa hasa
NB: tumuombee huyu kolo (bingwa wa mapinduzi cup) apigwe tu [emoji23]View attachment 2601388
Kwa umbumbumbu wako unadhani vipers iliyoifunga Yanga ndiyo hii? Au ile TP Mazembe iliyomkanda Makolokolo 4-1 ndiyo hii iliyotolewa na Yanga?Kama Al Hilal ni mbabe mbona hajatoboa mbele Zaidi ya makundi?.
Kama Vipers ni wabovu na dhaifu mbona alimfunga Yanga, na pia Vipers hao hao walimtoa TP Mazembe.
Timu zote za CAFCC, zimeenda kucheza huko sio Kwa sababu wanapenda, bali uwezo wao haukuruhusu kwenda hatua ya mbele Zaidi.
Idadi kubwa ya mashabiki wa Yanga wanachangamoto ya afya ya akili akiwemo huyu jamaa yetu,tumekusamehe bure sababu ya changamoto uliyonayo ya kiafya.
Sikumbuki hilo goli nakumbuka tu mlicheza gemu moja bovu sana.Tp englobet mazembe
Muulize mamelodsKama Al Hilal ni mbabe mbona hajatoboa mbele Zaidi ya makundi?.