Muulize riversChama Cha mpira wa mdomoni Tanzania (CHADOMO)
Nakupa uenyekiti wa kudumu Kwa miaka 30
Yanga hii hii inayo cheza KOMBE la ma looser
[emoji851][emoji851][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji851][emoji851]
Hawa ni Mbu mbu mbu mbuKwa umbumbumbu wako unadhani vipers iliyoifunga Yanga ndiyo hii? Au ile TP Mazembe iliyomkanda Makolokolo 4-1 ndiyo hii iliyotolewa na Yanga?
Uwe unaelewa timu huwa zinapanda na kushuka viwango wakati wowote we Kolowizards.
Kwa umbumbumbu wako unadhani vipers iliyoifunga Yanga ndiyo hii? Au ile TP Mazembe iliyomkanda Makolokolo 4-1 ndiyo hii iliyotolewa na Yanga?
Uwe unaelewa timu huwa zinapanda na kushuka viwango wakati wowote we Kolowizards.
Ok, endeleen kuamini katika ulozi.Ulozi mkuu
Ndiyo lile goli mlivyofunga benchi lote mkakatiza uwanja kwenda kushangilia? Yanga mna vichekesho sana.Goli alifunga klyan mbape kisinda
Haijabadilika:wenye maarifa pale utopoloni Ni 2 tu.Baada ya kuendelea kuifanyia tathimini ( uchambuzi) mechi ya wydadi Casablanca ( mabingwa wa Africa) na Makolo mabingwa wa .mapinduzi cup nimekuja kugundua yafuatayo
Kwa mpira wa spidi wanaocheza Yanga+ counter attack Yanga wangeweza kumuadhibu mwarabu ( ywdad) Kwa magoli zaidi ya 5
Uwepo wa wachezaji wasio wazito ( loading...) Kwenye kufanya maamuzi ya kufunga....kama mayele, musonda na Mwamnyeto Yanga ingempiga haswa wydadi Kwani walielemewa hasa
NB: tumuombee huyu kolo (bingwa wa mapinduzi cup) apigwe tu [emoji23]View attachment 2601388
Mpira hauko hivyo mzeeKama Simba aliyemfunga UTOPOLO FC goli 2-0 na akafungwa goli 3 na Raja Casablanca,
UTOPOLO FC angefungwa goli 6-0 na Raja Casablanca ,,
.hesabu zako zipo sahihi sn mkuu.
Ukwl mtupu.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Bali upo VP?Mpira hauko hivyo mzee