Yanga ingempiga Wydad goli zaidi ya 5

Yanga ingempiga Wydad goli zaidi ya 5

Chama Cha mpira wa mdomoni Tanzania (CHADOMO)

Nakupa uenyekiti wa kudumu Kwa miaka 30

Yanga hii hii inayo cheza KOMBE la ma looser
[emoji851][emoji851][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji851][emoji851]
Muulize rivers
 
Idadi kubwa ya mashabiki wa Yanga wanachangamoto ya afya ya akili akiwemo huyu jamaa yetu,tumekusamehe bure sababu ya changamoto uliyonayo ya kiafya.
Pole sana mkuu
 
Kwa umbumbumbu wako unadhani vipers iliyoifunga Yanga ndiyo hii? Au ile TP Mazembe iliyomkanda Makolokolo 4-1 ndiyo hii iliyotolewa na Yanga?

Uwe unaelewa timu huwa zinapanda na kushuka viwango wakati wowote we Kolowizards.
Hawa ni Mbu mbu mbu mbu
 
Kwa umbumbumbu wako unadhani vipers iliyoifunga Yanga ndiyo hii? Au ile TP Mazembe iliyomkanda Makolokolo 4-1 ndiyo hii iliyotolewa na Yanga?

Uwe unaelewa timu huwa zinapanda na kushuka viwango wakati wowote we Kolowizards.

Vipi Yanga hii bora, imewezaje kufungwa na Simba 2-0. Tena Yanga ikiwa imezidiwa kila idara?. Tena Simba ambayo Kwa maono yenu nyie mnaiona ni Simba mbovu.
 
Kwa al hilal ile haikuwa yanga ilikuwa ni utopolo iliyofungwa. Yanga iliendelea mbere mbere sana cafcc
 
Kama Simba aliyemfunga UTOPOLO FC goli 2-0 na akafungwa goli 3 na Raja Casablanca,
UTOPOLO FC angefungwa goli 6-0 na Raja Casablanca ,,

.hesabu zako zipo sahihi sn mkuu.

Ukwl mtupu.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
🚮
 

Attachments

  • 09dc48590b404acf8e833774e2b80ea0_342708991_6124463454327577_966906361825509135_n.jpg
    09dc48590b404acf8e833774e2b80ea0_342708991_6124463454327577_966906361825509135_n.jpg
    165.3 KB · Views: 1
Baada ya kuendelea kuifanyia tathimini ( uchambuzi) mechi ya wydadi Casablanca ( mabingwa wa Africa) na Makolo mabingwa wa .mapinduzi cup nimekuja kugundua yafuatayo

Kwa mpira wa spidi wanaocheza Yanga+ counter attack Yanga wangeweza kumuadhibu mwarabu ( ywdad) Kwa magoli zaidi ya 5

Uwepo wa wachezaji wasio wazito ( loading...) Kwenye kufanya maamuzi ya kufunga....kama mayele, musonda na Mwamnyeto Yanga ingempiga haswa wydadi Kwani walielemewa hasa

NB: tumuombee huyu kolo (bingwa wa mapinduzi cup) apigwe tu [emoji23]View attachment 2601388
Haijabadilika:wenye maarifa pale utopoloni Ni 2 tu.

Nb:kila mtu saivi ni msemaji wa mnyama!
 
Sema una kitu utafika mbali chama huwaga anazingua sana kwenye mechi kama hzo anachelewesha mashambulizi.
Yaah mkuu....huyu mwamba angekuwa wa spidi .....Simba isingekuwa inakamatika

Coz ni mpishi mzuri mno wa magoal
 
Back
Top Bottom