Yanga "INOGILE" fundi Niyonzima nae aongeza mkataba mchana huu!

Yanga "INOGILE" fundi Niyonzima nae aongeza mkataba mchana huu!

Sasa huyo si mchezaji wenu siku zote, hebu weka habari mpya hapa. Kama Ajibu kutua Yanga na zingine. Wechezaji wana ongeza mkata sio habari mpya. Unajua kipindi hiki cha usajili wachezaji hutengeneza dili na waandishi wa michezo, kujifanya wanaongea na timu nyingine, ili timu yake ya zamani imuongezee dau fasta, ama timu inayotajwa hii inaitwa kupindishwa thamani, ukizingatia mpira wetu ni wa kujifurahisha sisi wenyewe tu, na malengo ya mbele, Simba amtambie Yanga na Yanga amtambie Simba basi, nasio kutambia vilabu vya nje.
Habari mpya Ni hii hapa jembe....
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_BUSWITA.jpeg

Buswita akimwaga wino Jangwani.
 
Mara ooh FIFA wana allergy na sisi Simba!!.. Yan Simba!!
 
Habari mpya Ni hii hapa jembe....View attachment 525157
Buswita akimwaga wino Jangwani.
Magazeti yanawapandisha presha tu, ili muwasainishe, kwa dau wanalotaka, kiongozi gani wa Simba umemsikia akimtaka Buswita. Ujue waandishi wa magazeti wanashiriki biashara ya usajili, huwa wanagonganisha maneno ili mpate presha mpande dau kalakabao.
 
Nyoinzima Amerudi Leo tarehe 17 alfajiri SAA 9 akishuka na Rwanda Air, Aveva naye alikuwepo uwanjani inaonekana kama Aveva alikua akimsubiri Haruna. Baada ya kufika Haruna alipanda gari ndogo na kutokomea,baadhi ya watu walidai ile Gari ilikua ya wapambe wa Aveva. Baada ya kitambo kidogo Aveva naye akapotea.ila kuna mnazi mmoja ambaye alidai kuongea na Aveva mda huo wa saa Tisa Alfajiri anadai Aveva alifika uwanjani hapo kwa ishu ya Haruna. Tegemea mda wowote kama simba wataafikiana na Haruna basi wataweka Hadharani.
 
Tunasubiri tamko!! Vipi Okwi naye kesha saini?
 
Back
Top Bottom