py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Zimisileni moyo kiungo wa zanaco nadhani wengi mnamfahamu mechi kati ya yanga na zanaco alikichafua sana aliwapoteza vibaya mno wakina niyonzima,kamusoko pale kati
Na mguu wake wa kushoto alikuwa anafanya anachotaka kila sehemu unamkuta akiomba mpira na mpira ukiwa mguuni kwake ni kama vile smaku na rasta zake utafikiri Edgar Davids
Usajili bora kama dili ikikamilika