Yanga ipo mbioni kumsainisha kiungo machachari "fundi,mnyumbulifu" kutoka zesco

Yanga ipo mbioni kumsainisha kiungo machachari "fundi,mnyumbulifu" kutoka zesco

Kwa hiyo na sisi tutaanza kuitwa Son of Cow FC, ama? Maana nasikia mwenyekiti wetu kafanya kama alivyofanya Ndama mtoto wa Ng'ombe.
 
42f95d67cfd0702d12b5612900181b5a.jpg


4e0d83fb8fb779ac20f5588a2647bf7e.jpg



Zimisileni moyo kiungo wa zanaco nadhani wengi mnamfahamu mechi kati ya yanga na zanaco alikichafua sana aliwapoteza vibaya mno wakina niyonzima,kamusoko pale kati

Na mguu wake wa kushoto alikuwa anafanya anachotaka kila sehemu unamkuta akiomba mpira na mpira ukiwa mguuni kwake ni kama vile smaku na rasta zake utafikiri Edgar Davids

Usajili bora kama dili ikikamilika
Huyu ni mzimbabwe aliyekwenda Zesco kuziba pengo lililoachwa na kiungo Fackson Kapumbu
 
Back
Top Bottom