Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Mjiandae kupeleka chakula segerea kwa viongozi wenu mikia fc
Sawa nimekuelewa mnazi wa Ngada FC., na ninyi mjiandae pia maana mtetezi wenu Mali hizi naye si yupo kule?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjiandae kupeleka chakula segerea kwa viongozi wenu mikia fc
Huyu ni mzimbabwe aliyekwenda Zesco kuziba pengo lililoachwa na kiungo Fackson Kapumbu![]()
![]()
Zimisileni moyo kiungo wa zanaco nadhani wengi mnamfahamu mechi kati ya yanga na zanaco alikichafua sana aliwapoteza vibaya mno wakina niyonzima,kamusoko pale kati
Na mguu wake wa kushoto alikuwa anafanya anachotaka kila sehemu unamkuta akiomba mpira na mpira ukiwa mguuni kwake ni kama vile smaku na rasta zake utafikiri Edgar Davids
Usajili bora kama dili ikikamilika