Yanga ipo mbioni kumsainisha kiungo machachari "fundi,mnyumbulifu" kutoka zesco

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448





Zimisileni moyo kiungo wa zanaco nadhani wengi mnamfahamu mechi kati ya yanga na zanaco alikichafua sana aliwapoteza vibaya mno wakina niyonzima,kamusoko pale kati

Na mguu wake wa kushoto alikuwa anafanya anachotaka kila sehemu unamkuta akiomba mpira na mpira ukiwa mguuni kwake ni kama vile smaku na rasta zake utafikiri Edgar Davids

Usajili bora kama dili ikikamilika
 
HIVI LILE GARASA.....kishoka MKATA UMEME bado yupo ? KANDAMBILI BHANA....wanavituko!!! Wananikumbusha yule beach boy mchoma mishikaki aliyeletwa na tapeli MAXIMO.....
 
HIVI LILE GARASA.....kishoka MKATA UMEME bado yupo ? KANDAMBILI BHANA....wanavituko!!! Wananikumbusha yule beach boy mchoma mishikaki aliyeletwa na tapeli MAXIMO.....

Teh teh teeeh. Yupo mkuu nahisi bado alikuwa anakula kozi Mtera, kidatu, nyumba ya Mungu na sasa anamalizia kozi yake Kinyerezi. Msubirieni msimu ujao.
 
Yanga kwakuchangishana wapo vizuri Ngoma kasainishwa na makomando tu unaona leo wanatamba mbaya uku mtaani kama wamepewa hati ya jengo la kaunda vile
 
Jumamosi Zanaco wanacheza na National ya Misri SAA saba mchana ZBC 2 wanaonyesha..mtazame Moyo alafu linganisha na wachezaji wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…