OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ile connection ya Yanga imeonyesha vipaji vingi walivyonavyo wana Utopolo.
Nimeona dada ambaye ni kiongozi wa tawi la Yanga akijimanua hatari kabisa.
Kuna yule kijana wa kiume anayatawanya matikiti kwa ustadi wa hali ya juu.
Kifupi hiki kikundi kisajiliwe kama idara ya Yanga. Kitumike kwenye hamasa kujaza uwanja. Tiketi ziuzwe kila kinapotumbuiza. Hiki kikundi kitatoa upinzani sana kwa kikundi cha Kispika Simba Sc
Nimeambiwa ile video ina baraka zote. Imetolewa ili kufifisha kelele za usajili wa Toto