OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Naunga mkono kuanzia leo Yanga iitwe Kangamoko FCIle connection ya Yanga imeonyesha vipaji vingi walivyonavyo wana Utopolo.
Nimeona dada ambaye ni kiongozi wa tawi la Yanga akijimanua hatari kabisa. Kuna yule kijana wa kiume anayatawanya matikiti kwa ustadi wa hali ya juu.
Kifupi hiki kikundi kisajiliwe kama idara ya Yanga. Kitumike kwenye hamasa kujaza uwanja. Tiketi ziuzwe kila kinapotumbuiza. Hiki kikundi kitatoa upinzani sana kwa kikundi cha Kispika Simba Sc
Nimeambiwa ile video ina baraka zote. Imetolewa ili kufifisha kelele za usajili wa Toto
Si unaona video ilivyochukuliwa kwa ustadiKwa hiyo unataka kusema watoa baraka walikuwa eneo la tukio wakati shooting inaendelea?
Wapigie viongozi wako wa Uto wanazo za masaa 2 ya showMtu unazungumzia video, alafu hujaiweka ndio nn sasa..,Makolo bhana.
swala la fei kubaki ni km kidole cha kati ndani ya makato ya makolo kilichabaki ni kutafuta vya kujifariji tuIle connection ya Yanga imeonyesha vipaji vingi walivyonavyo wana Utopolo.
Nimeona dada ambaye ni kiongozi wa tawi la Yanga akijimanua hatari kabisa. Kuna yule kijana wa kiume anayatawanya matikiti kwa ustadi wa hali ya juu.
Kifupi hiki kikundi kisajiliwe kama idara ya Yanga. Kitumike kwenye hamasa kujaza uwanja. Tiketi ziuzwe kila kinapotumbuiza. Hiki kikundi kitatoa upinzani sana kwa kikundi cha Kispika Simba Sc
Nimeambiwa ile video ina baraka zote. Imetolewa ili kufifisha kelele za usajili wa Toto
Mbumbumbu/Makolokolo/Malalamiko/Mikia/Makelele/Kolowizards/Ngada FC hamjawahi kuwa na akili na hamtakuwa nazo kabisa [emoji38]Ile connection ya Yanga imeonyesha vipaji vingi walivyonavyo wana Utopolo.
Nimeona dada ambaye ni kiongozi wa tawi la Yanga akijimanua hatari kabisa. Kuna yule kijana wa kiume anayatawanya matikiti kwa ustadi wa hali ya juu.
Kifupi hiki kikundi kisajiliwe kama idara ya Yanga. Kitumike kwenye hamasa kujaza uwanja. Tiketi ziuzwe kila kinapotumbuiza. Hiki kikundi kitatoa upinzani sana kwa kikundi cha Kispika Simba Sc
Nimeambiwa ile video ina baraka zote. Imetolewa ili kufifisha kelele za usajili wa Toto
🤣🤣Ile connection ya Yanga imeonyesha vipaji vingi walivyonavyo wana Utopolo.
Nimeona dada ambaye ni kiongozi wa tawi la Yanga akijimanua hatari kabisa. Kuna yule kijana wa kiume anayatawanya matikiti kwa ustadi wa hali ya juu.
Kifupi hiki kikundi kisajiliwe kama idara ya Yanga. Kitumike kwenye hamasa kujaza uwanja. Tiketi ziuzwe kila kinapotumbuiza. Hiki kikundi kitatoa upinzani sana kwa kikundi cha Kispika Simba Sc
Nimeambiwa ile video ina baraka zote. Imetolewa ili kufifisha kelele za usajili wa Toto
Wale ni mashabiki wa Uto mixer na viongozi wa matawi. TunawajuaMbumbumbu/Makolokolo/Malalamiko/Mikia/Makelele/Kolowizards/Ngada FC hamjawahi kuwa na akili na hamtakuwa nazo kabisa [emoji38]
Kwani wewe ukivaa jezi ya Man Utd na ukaanza kuikandia hata kucheza uchi kama Gatuso ndiyo inapelekea kuamini washabiki wote wa Man Utd ni mazumbukuku kama wewe?
Lete koneksheni mkuuUle uzi wa Kibu vs Mayele unatosha kueleza akili ya huyu jamaa.
Lile tukio kuna kiongozi wa Yanga? Hakuna, kama yupo tupate majina yaoIle connection ya Yanga imeonyesha vipaji vingi walivyonavyo wana Utopolo.
Nimeona dada ambaye ni kiongozi wa tawi la Yanga akijimanua hatari kabisa.
Kuna yule kijana wa kiume anayatawanya matikiti kwa ustadi wa hali ya juu.
Kifupi hiki kikundi kisajiliwe kama idara ya Yanga. Kitumike kwenye hamasa kujaza uwanja. Tiketi ziuzwe kila kinapotumbuiza. Hiki kikundi kitatoa upinzani sana kwa kikundi cha Kispika Simba Sc
Nimeambiwa ile video ina baraka zote. Imetolewa ili kufifisha kelele za usajili wa Toto
Mnawakana wahuni wenzenu? Namba za kadi anazo privadinyo na huenda video walichukua hao hao vijana wenu wa hovyoLile tukio kuna kiongozi wa Yanga? Hakuna, kama yupo tupate majina yao
Mchezaji wa Yanga je? Hakuna, kama yupo tupate majina yao
Mwanachama wa Yanga je? Hakuna, kama yupo tupate kujua namba za kadi zao
Wale ni wahuni tu kama wahuni wengine ambao wengine walikuwa wamevalia jezi za Yanga.
Hata wazazi huwakana watoto.wao wakifanya mambo yasiyowapendeza lakini haiondoi uhalisia kuwa ni watoto wao.Lile tukio kuna kiongozi wa Yanga? Hakuna, kama yupo tupate majina yao
Mchezaji wa Yanga je? Hakuna, kama yupo tupate majina yao
Mwanachama wa Yanga je? Hakuna, kama yupo tupate kujua namba za kadi zao
Wale ni wahuni tu kama wahuni wengine ambao wengine walikuwa wamevalia jezi za Yanga.
Umeiona hiyo video???Ulichoandika kinadhihirisha namna ulivyo punguani!.