Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Tukisema kuna wachezaji wanatakiwa wafyekelewe mbali watu mnakuja juu.
Nacheki hapa Orlando anavomkimbiza CRB naona kwa hii kasi Yanga itakuja kututia aibu mbaya sana
Pacome huyu ni mzee.. ukiangalia tu sura yake unaona ni kibabu, mwili unakataa
Auchoo, huyu ni babu pia mwili unakataa ni bonge mzito
Dube hapa hata nisiongee sana,
Musonda, Mwamnyeto nasema hivi sisi yanga hatuna uvumilivu n kwa nilivomuina president leo basi hawa dirisha dogo wanatupiwa virago