Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Sio poa mzee...jamaa wana kasiOrlando Pirates inapiga migoli ya mbali migoli hii ndio nasema Yanga wawe wanafunga hivi wanaleta ubishooo kutaka kumchenga mpaka kipa
Cr beluzdad 0-2 Orlando Pirates dakika ya 30
Unacheck boliSio poa mzee...jamaa wana kasi
Kanaitwa Nyuma Mwiko cha Pale Buza Kwa Mpalange Wamekalaza bao 2 mtungi leoHuyu Mdangaji gani anaendesha boda?
Yap. NachekUnacheck boli
Kwa Mpalange?Kanaitwa Nyuma Mwiko cha Pale Buza Kwa Mpalange Wamekalaza bao 2 mtungi leo
Ndio mkuu Buza kwa MpalangeKwa Mpalange?
Wanaofungwa nani sijaelewaOrlando Pirates inapiga migoli ya mbali migoli hii ndio nasema Yanga wawe wanafunga hivi wanaleta ubishooo kutaka kumchenga mpaka kipa
Cr beluzdad 0-2 Orlando Pirates dakika ya 30
Cr beluzdad kachapwa 2 nunge yote magoli ya mbali si wanaziba goli watu wanatupia mbali kitu kambani ndio Yanga ilitakiwa icheze hivi inaleta ubishoo wa kutaka kupita katiWanaofungwa nani sijaelewa
Uzi huu umenichekesha sana.Tukisema kuna wachezaji wanatakiwa wafyekelewe mbali watu mnakuja juu.
Nacheki hapa Orlando anavomkimbiza CRB naona kwa hii kasi Yanga itakuja kututia aibu mbaya sana
Pacome huyu ni mzee.. ukiangalia tu sura yake unaona ni kibabu, mwili unakataa
Auchoo, huyu ni babu pia mwili unakataa ni bonge mzito
Dube hapa hata nisiongee sana,
Musonda, Mwamnyeto nasema hivi sisi yanga hatuna uvumilivu n kwa nilivomuina president leo basi hawa dirisha dogo wanatupiwa virago
Hata alete nani yanga hafiki popote nilishasema injinia akubali kuwapamoja na wale WOTE waliomsaidiatuliposota miaka minne bila makombe endelea kuwakumbaria akina kamwe na genge lake walioikuta yanga kwenye kilele cha mafanikio.Nakushauri Tena injinia Bado hujachelewa manara mtu muhimu sana kwa propaganda na kukisaidia mambo yo nje ya uwanja ilipofia yanga.Tukisema kuna wachezaji wanatakiwa wafyekelewe mbali watu mnakuja juu.
Nacheki hapa Orlando anavomkimbiza CRB naona kwa hii kasi Yanga itakuja kututia aibu mbaya sana
Pacome huyu ni mzee.. ukiangalia tu sura yake unaona ni kibabu, mwili unakataa
Auchoo, huyu ni babu pia mwili unakataa ni bonge mzito
Dube hapa hata nisiongee sana,
Musonda, Mwamnyeto nasema hivi sisi yanga hatuna uvumilivu n kwa nilivomuina president leo basi hawa dirisha dogo wanatupiwa virago
Kama lile la black stars la Pacome au la Fei Taifa starsCr beluzdad kachapwa 2 nunge yote magoli ya mbali si wanaziba goli watu wanatupia mbali kitu kambani ndio Yanga ilitakiwa icheze hivi inaleta ubishoo wa kutaka kupita kati