Yanga isiwe kama kilabu cha pombe

Yanga isiwe kama kilabu cha pombe

Hili jitu kila likilala likiamka linaiwaza Yanga tu,nadhan kichwani kuna mawe.
 
Mbona basi lao taa za nyuma zina rangi nyekundu
Mkuu hiyo ndio maana halisi ya Vyura fc, wao muda wote wanawaza kunesa nesa kwenye madimbwi pale jangwani wala usiwashangae kabisaa.

Kumbuka walikataa log ya mdhamini wa ligi kuu Vodacom yenye rangi nyekundu wakidai ni haramu kwao.

Kumbuka walikataa kupanda basi la abood alipojitolea kuwapeleka singida basi lao lilipoharibika morogoro kisa lina rangi nyekundu.

Wana mambo ya ovyo sana hao, ngoja tu hiyo j pili tuwafunge watulie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
20200223_181729.gif
 
Kesho watapata habari yao... Utabiri unazidi kukazia yale Matokeo.... 0-4
Wiki iliyopita Ghazwat alileta uzi humu akishangazwa na tabia ya Yanga kuharibu log za timu zingine hasa zenye logo nyekundu.

Wadau na wanamichezo walikerwa na matukio hayo yasiyo ya kimichezo na kuishauri Yanga iache mara moja tabia hiyo. Baada ya malalamiko hayo Yanga ikajirekebisha na hatimaye mechi kati yake na Coastal Union waliweka logo nyekundu.

Leo kwenye official page yao wameweka tangazo la mechi kati yake na Simba Sc ajabu wamechakachua logo ya Simba Sc na kuondoa rangi nyekundu.

Baada ya mashabiki wa page yao kushangazwa na jambo hili wakaona isiwe tabu wakabadilisha tangazo. Cha kushangaza tena wameandika jina la Simba Sc kichoko sana badala ya jina kamili la club hiyo.

Najiuliza hiki ni kilabu cha pombe au club ya mpira inayoshiriki ligi kuu?View attachment 1378849

Jr[emoji769]
 
punguza povu mkuu,usinilaumu mimi ilaumu Yanga iliyonipa mada

Siwezi kuilaumu Yanga wala ww.Namlaum babako maana hakuwa makini kuchagua mwanamke mwenye IQ kubwa wakat wa kuoa.Matokeo yake kazaliwa kilaza kama ww full kusumbua jamii ya wastaarabu.
 
Kwahivyo kuwakejeli wazazi wake ndo ustaaraba na IQ kubwa? Wewe ni mjinga sana hujui ustaarabu wala football na fair play

Vinazungumzwa vitu vya msingi kuhusu logo badala ya kujenga hoja zenye mantiki halafu wewe unaleta ujuha na kejeli zako, wewe ni nani kuweza kumlaumu mzazi wake..Tahadhari sana wewe..!

Siwezi kuilaumu Yanga wala ww.Namlaum babako maana hakuwa makini kuchagua mwanamke mwenye IQ kubwa wakat wa kuoa.Matokeo yake kazaliwa kilaza kama ww full kusumbua jamii ya wastaarabu.
 
Yanga FC ndio klabu pekee iliyokuwa katika vuguvugu la kuleta uhuru wa Tanganyika, Simba ni mabwanyenye wachache waliojitoa Yanga, ambao hawakutaka shida. Nashangaa kuna mijitu miingi bado inashabikia simba

Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! I LOVE YOU YANGA!!! POTELEA PWETE,
 
Kwahivyo kuwakejeli wazazi wake ndo ustaaraba na IQ kubwa? Wewe ni mjinga sana hujui ustaarabu wala football na fair play

Vinazungumzwa vitu vya msingi kuhusu logo badala ya kujenga hoja zenye mantiki halafu wewe unaleta ujuha na kejeli zako, wewe ni nani kuweza kumlaumu mzazi wake..Tahadhari sana wewe..!
Ukileta uzi wa watani WA Jadi ni tag mkuu Achana na mbwigala huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo ndio maana halisi ya Vyura fc, wao muda wote wanawaza kunesa nesa kwenye madimbwi pale jangwani wala usiwashangae kabisaa.

Kumbuka walikataa log ya mdhamini wa ligi kuu Vodacom yenye rangi nyekundu wakidai ni haramu kwao.

Kumbuka walikataa kupanda bus la abood alipojitolea kuwapeleka singida bus lao lilipoharibika morogoro kisa lina rangi nyekundu.

Wana mambo ya ovyo sana hao, ngoja tu hiyo j pili tuwafunge watulie.
😂😂😂😂Muda wote wanawaza kunesa nesa kweny madimbwi 🤣🤣🤣kila nikisoma huo mstali nacheka mpak machoz
 
Back
Top Bottom