Yanga itaacha lini soka la janja janja?

Kama umefuatilia mechi za Yanga karibuni utagundua wakicheza na timu dhaifu au vibonde wanakamia na kuzipopoa goli nyingi kwelikweli ila wakikutana na timu za super league wanaufyat...
Kibonde kabisa alipigwa 5, tar 5, mwezi wa 11, mwaka 2023.
 
😂😂sijakuelewa lakini naunga mkono hoja
 
Na 5imba nao dhaifu ee maana walipopolewa kweri kweriiiii
 
Ndio tukikutana na timu dhaifu tunawapiga kweli kama wafuatao
1.simba 5
2.kmc 5
3.namungo 3
Jamani unisaidie nimesahau wengine
Nyie simba pia dhaifu
 
Wa 5 nao waliviziwa
 
Mkuu
Mkuu, kabla sijaweka comment yangu, naomba kufahamu kwa mtazamo wako CR Belouzdad, Medeama na Simba unaziwek kwenye kundi lipi? Ni dhaifu/vibonde au ni timu hizo za super legue?
 
Jamaa mjanja sana wewe, naona watu wajaa kichwakichwa.
 
Ndio tukikutana na timu dhaifu tunawapiga kweli kama wafuatao
1.simba 5
2.kmc 5
3.namungo 3
Jamani unisaidie nimesahau wengine
Nyie simba pia dhaifu
Sahihi kabisa! Nategemea pia izo 5 tuzione kwa Mamelodi, Petro de luanda
 
Bora Namungo kapigwa 3, kuna yule alikula 5 dhaifu kabisa yule.
 
Mkuu naona umeamka toka kwenye coma. Pitia nyuzi humu utajua Yanga yuko hatua gani kwenye klabu bingwa ya Afrika.
 
Subiri watakapo cheza na simba
 
Vilaza wa fb wamevamiaa uku kwa kasi kubwa so tujiandae kwa nyuzi za kitoto tu.
 
Vilaza wa fb wamevamiaa uku kwa kasi kubwa so tujiandae kwa nyuzi za kitoto tu.
Sijawahi tumia FB, pia Mimi sio kilaza Nina Degree ya Accountant iko certified kabisa CPA, pia nina Msc finance and accounting ( university of Cambridge) kati ya Mm na ww nani kilaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…