Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

Uliza wazee wako, au google kama kipindi hiko haukuwepo
Nataka utoe majibu ili nijue ni mtu wa aina gani ninayejadiliana nae hapa. Kama hujui sema sijui sio kujibu majibu kama mtoto mdogo
 
Ila yanga walikua nae kambini kipa mwenye tabia za askari wa zenji, na alisema wapo wengi paleee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kabwiliiii woyeeeeeeeee
sawa mke wa afande wa zenji
 
Mtoto mdogo ana umri gani ?
Naona unatafuta pakutokea. Ngoja nikupe somo,
Kabla ya mwaka 1997 sio kwamba ligi ya Tanzania bara haikuwepo, ligi ya Tanzania bara ilikuwepo kama kawaida isipokuwa ikaongezeka ligi ya muungano.
Mfumo wa ligi ya muungano ilikuwa inachukuwa timu sita, tatu kutoka bara na tatu kutoka visiwani ambazo ni bingwa wa ligi na mbili zinazofuata kwenye msimamo wa ligi. Hivyo Tanzania visiwani wakawa na ligi yao na huku Tanzania bara kukawa na ligi yao kisha wanakuja kukutana katika ligi ya muungano. Na lengo ilikuwa ni kuifanya Zanzibar wawe na mwakilishi kwenye michuano ya CAF kwasababu hawakuwa member wa CAF

Hivyo kulikuwa kuna timu zinabeba kombe la ligi ya bara na ligi ya muungano kwa pamoja na pia kuna timu zimechukua kombe la ligi kuu bara na kukosa kombe la muungano au kinyume chake.

Pitia hapa ujue mfumo wa ligi ya muungano na historia yake.

Umekuja kuelezea ligi ya muungano, nimekwambia ligi kuu Tanzania bara lilianza kuitwa 1997 hilo halina ubishi
 
Inamaana hujui tumewakung'uta na hao TP Mazembe 3-1 ambao waliwatandika 4 - 0 mwaka 2019
TP Mazembe katolewa na Vipers, Af Vipers alimfunga Yanga kwenye mechi ya kirafiki na Vipers nae kakandwa nje ndani na Simba uwe unaweka Rekodi sawa sio kuleta nusunusu.
 
Nani kakudanganya hivi ?
Duh pole sana mkuu ila taratibu tu utaujua mpira.
CAF super cup ni mchuano ambao unacheza katika ufunguzi wa msimu wa mashindano ya CAF interclub. Inapigwa mechi kati ya bingwa wa CAF confederation cup dhidi ya bingwa wa CAF champions league. Labda unieleze inawezekana vipi hawa wanaocheza wasiwe na kombe?
 
Inamaana hujui tumewakung'uta na hao TP Mazembe 3-1 ambao waliwatandika 4 - 0 mwaka 2019
TP Mazembe katolewa na Vipers, Af Vipers alimfunga Yanga kwenye mechi ya kirafiki na Vipers nae kakandwa nje ndani na Simba uwe unaweka Rekodi sawa sio kuleta nusunusu.
 
Umekuja kuelezea ligi ya muungano, nimekwambia ligi kuu Tanzania bara lilianza kuitwa 1997 hilo halina ubishi
Nimekuuliza swali, kabla ya mwaka 1997 hakukuwa na ligi ya Tanzania bara ukanijibu ndio. Nimekuuliza kama haikuwepo kulikuwa na ligi gani au ligi ya Tanzania bara iliitwaje? Umeshindwa kujibu
 
Nimekuuliza swali, kabla ya mwaka 1997 hakukuwa na ligi ya Tanzania bara ukanijibu ndio. Nimekuuliza kama haikuwepo kulikuwa na ligi gani au ligi ya Tanzania bara iliitwaje? Umeshindwa kujibu
Kwani simu yako haina Google
 
Alikuwa anamaanisha CAF super league
 
Kwani simu yako haina Google
Hukustahili kujiunga JF kwasababu hujui kitu na hujui kujibu hoja. Wewe ni wa Facebook humu hupawezi, ukisema mtu aende google maanake unabisha kitu usichokijua.
 
Mkuu kwa kuongezeka tu hata caf cup hayakuwa mahindano ya pili Kwa ukubwa barani Afrika, ni African cup winners cup ndio yalikuwa mashindano ya pili Kwa ukubwa barani Afrika ambayo kwa sasa ndio unaweza kuyafananisha na confederation cup kwani hata vigezo vya kushiriki ni sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…