Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,393
- 2,759
NdioTutafika tu mkuu kwenye ukweli. Haya niambie kabla mwaka 1997 ligi ya Tanzania bara haikuwepo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioTutafika tu mkuu kwenye ukweli. Haya niambie kabla mwaka 1997 ligi ya Tanzania bara haikuwepo?
Kulikuwa na ligi ya wapi? Au ligi ilikuwa inaitwaje?Ndio
Uliza wazee wako, au google kama kipindi hiko haukuwepoKulikuwa na ligi ya wapi? Au ligi ilikuwa inaitwaje?
Nataka utoe majibu ili nijue ni mtu wa aina gani ninayejadiliana nae hapa. Kama hujui sema sijui sio kujibu majibu kama mtoto mdogoUliza wazee wako, au google kama kipindi hiko haukuwepo
Mtoto mdogo ana umri gani ?Nataka utoe majibu ili nijue ni mtu wa aina gani ninayejadiliana nae hapa. Kama hujui sema sijui sio kujibu majibu kama mtoto mdogo
sawa mke wa afande wa zenjiIla yanga walikua nae kambini kipa mwenye tabia za askari wa zenji, na alisema wapo wengi paleee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kabwiliiii woyeeeeeeeee
Naona unatafuta pakutokea. Ngoja nikupe somo,Mtoto mdogo ana umri gani ?
Umekuja kuelezea ligi ya muungano, nimekwambia ligi kuu Tanzania bara lilianza kuitwa 1997 hilo halina ubishiNaona unatafuta pakutokea. Ngoja nikupe somo,
Kabla ya mwaka 1997 sio kwamba ligi ya Tanzania bara haikuwepo, ligi ya Tanzania bara ilikuwepo kama kawaida isipokuwa ikaongezeka ligi ya muungano.
Mfumo wa ligi ya muungano ilikuwa inachukuwa timu sita, tatu kutoka bara na tatu kutoka visiwani ambazo ni bingwa wa ligi na mbili zinazofuata kwenye msimamo wa ligi. Hivyo Tanzania visiwani wakawa na ligi yao na huku Tanzania bara kukawa na ligi yao kisha wanakuja kukutana katika ligi ya muungano. Na lengo ilikuwa ni kuifanya Zanzibar wawe na mwakilishi kwenye michuano ya CAF kwasababu hawakuwa member wa CAF
Hivyo kulikuwa kuna timu zinabeba kombe la ligi ya bara na ligi ya muungano kwa pamoja na pia kuna timu zimechukua kombe la ligi kuu bara na kukosa kombe la muungano au kinyume chake.
Pitia hapa ujue mfumo wa ligi ya muungano na historia yake.
![]()
MIAKA 21 YA LIGI YA MUUNGANO. MIAKA 15 BILA LIGI YA MUUNGANO
NA PASCAL KABOMBE Ligi ya Muungano ilianza rasmi mwaka 1982 lengo ni kudumisha Muungano wetu na kutoa usawa wa kiuwakilishi katika mich...saidallymwandike.blogspot.com
TP Mazembe katolewa na Vipers, Af Vipers alimfunga Yanga kwenye mechi ya kirafiki na Vipers nae kakandwa nje ndani na Simba uwe unaweka Rekodi sawa sio kuleta nusunusu.Inamaana hujui tumewakung'uta na hao TP Mazembe 3-1 ambao waliwatandika 4 - 0 mwaka 2019
Duh pole sana mkuu ila taratibu tu utaujua mpira.Nani kakudanganya hivi ?
TP Mazembe katolewa na Vipers, Af Vipers alimfunga Yanga kwenye mechi ya kirafiki na Vipers nae kakandwa nje ndani na Simba uwe unaweka Rekodi sawa sio kuleta nusunusu.Inamaana hujui tumewakung'uta na hao TP Mazembe 3-1 ambao waliwatandika 4 - 0 mwaka 2019
Nimekuuliza swali, kabla ya mwaka 1997 hakukuwa na ligi ya Tanzania bara ukanijibu ndio. Nimekuuliza kama haikuwepo kulikuwa na ligi gani au ligi ya Tanzania bara iliitwaje? Umeshindwa kujibuUmekuja kuelezea ligi ya muungano, nimekwambia ligi kuu Tanzania bara lilianza kuitwa 1997 hilo halina ubishi
Kwani simu yako haina GoogleNimekuuliza swali, kabla ya mwaka 1997 hakukuwa na ligi ya Tanzania bara ukanijibu ndio. Nimekuuliza kama haikuwepo kulikuwa na ligi gani au ligi ya Tanzania bara iliitwaje? Umeshindwa kujibu
Alikuwa anamaanisha CAF super leagueDuh pole sana mkuu ila taratibu tu utaujua mpira.
CAF super cup ni mchuano ambao unacheza katika ufunguzi wa msimu wa mashindano ya CAF interclub. Inapigwa mechi kati ya bingwa wa CAF confederation cup dhidi ya bingwa wa CAF champions league. Labda unieleze inawezekana vipi hawa wanaocheza wasiwe na kombe?
Hiki ndicho chanzo chako cha kuaminika kilichokufanya uje kupinga komenti yangu?Bingwa aliyechukua 1993 yupo hapo kwenye list ya mabingwa wa shirikisho, na huyo ndiye tuliyecheza naye fainali. View attachment 2545682
Aliyeandika hayo maneno ni wewe? Mbona yeye mwenyewe hakusema kama kamaanisha CAF super league? Usikurupukie mamboAlikuwa anamaanisha CAF super league
Mlifika ila hamkutwaa kombeAcha uongo na rekodi za mchongo, yaani unataka kufuta rekodi za Simba kirahisi hivyo?
1. Simba ilifika hatua ya Fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993
2. Simba ilifika hatua ya Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika mwaka 1974
View attachment 2544038
Hukustahili kujiunga JF kwasababu hujui kitu na hujui kujibu hoja. Wewe ni wa Facebook humu hupawezi, ukisema mtu aende google maanake unabisha kitu usichokijua.Kwani simu yako haina Google
Mkuu kwa kuongezeka tu hata caf cup hayakuwa mahindano ya pili Kwa ukubwa barani Afrika, ni African cup winners cup ndio yalikuwa mashindano ya pili Kwa ukubwa barani Afrika ambayo kwa sasa ndio unaweza kuyafananisha na confederation cup kwani hata vigezo vya kushiriki ni sawaKuna sehemu nimesema kuwa mashindano ya CAF hayatambuliki? Nilichokisema mimi ni kuwa CAF cup ni tofauti na CAF confederation cup na ndio maana ukitafuta historia ya waliochukua kombe na waliofika fainali ya CAF confederation cup huwezi kuona Simba. Mada iliyoletwa hapa na mleta uzi ni Yanga kuwa ndio timu ya kwanza kucheza nusu fainali ya CAF confederation cup kwa Tanzania. Mkampinga mkidai kuwa Simba alishawahi kucheza fainali ya michuano hiyo mwaka 1993 kitu ambacho sio sahihi. Simba alicheza fainali ya CAF cup na sio CAF confederation cup.