Huyo anawakilisha kundi la mambumbu. Na unachosema ni kweli na nilimwambia kwenye post 147 lakini ameamua kujitoa ufahamu.Mkuu kwa kuongezeka tu hata caf cup hayakuwa mahindano ya pili Kwa ukubwa barani Afrika, ni African cup winners cup ndio yalikuwa mashindano ya pili Kwa ukubwa barani Afrika ambayo kwa sasa ndio unaweza kuyafananisha na confederation cup kwani hata vigezo vya kushiriki ni sawa
Wee si shost ako askari wa zenji,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mke wa afande wa zenji
Hapana baba yako mimi ndiye ninaye mfirimba marinda,Wee si shost ako askari wa zenji,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nimeshakuwepo sasa unasemaje??Hukustahili kujiunga JF kwasababu hujui kitu na hujui kujibu hoja. Wewe ni wa Facebook humu hupawezi, ukisema mtu aende google maanake unabisha kitu usichokijua.
Kwani kombe la shirikisho limetokea wapi ??Mkuu kwa kuongezeka tu hata caf cup hayakuwa mahindano ya pili Kwa ukubwa barani Afrika, ni African cup winners cup ndio yalikuwa mashindano ya pili Kwa ukubwa barani Afrika ambayo kwa sasa ndio unaweza kuyafananisha na confederation cup kwani hata vigezo vya kushiriki ni sawa
Kwenye maelezo yangu hakuna sehem nimesema kombe la shirikisho halijatokana na caf cup
Vzuri hivyo kama kombe la shirikisho limetokana na CAF cup, Simba tumewahi kuingia fainali shirikishoKwenye maelezo yangu hakuna sehem nimesema kombe la shirikisho halijatokana na caf cup
Kwanza unajua hata vigezo vya timu shiriki za ilo caf cup? Halafu pia caf cup wakati likianzishwa 1992, Winner's cup lilikuwepo na ndio lilikuwa kombe lenye hadhi ya pili Kwa ubora barani Afrika?
Achana na mashabiki wa utoporoooo luc eymael hakukosea kuwaita yale majina aiseeπππ nakumbuka wakati Simba inafika robo fainali ya Caf CL walisema Simba imefika hatua hyo kwasababu ya Asante korona eti timu ilizoshindana nazo zilikua kwenye korona breakππVzuri hivyo kama kombe la shirikisho limetokana na CAF cup, Simba tumewahi kuingia fainali shirikisho
Bora mkuu nipumzike sasa maana unaweza toka sugu za vidole kwa watu ambao wamekaza vichwaAchana na mashabiki wa utoporoooo luc eymael hakukosea kuwaita yale majina aisee[emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka wakati Simba inafika robo fainali ya Caf CL walisema Simba imefika hatua hyo kwasababu ya Asante korona eti timu ilizoshindana nazo zilikua kwenye korona break[emoji23][emoji23]
Nafuu sisi tunafungwa nyie hakuna kitu hata kuitwa kufungwa hakunagaKwaio hicho kipande cha karatasi ndio kina justify hoja Yako? Nikisema hivi nawewe utaamini?View attachment 2544053
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chiziiiiii, poleeeeeHapana baba yako mimi ndiye ninaye mfirimba marinda,
daaaa ushabiki kazi sanaUkitazama kwa jicho la kimpira utakubaliana na mimi ya kuwa klabu ya Yanga itafika mbali zaidi ya ilipofikia Simba kwenye michuano hii ya CAF.
Ikumbukwe Yanga inashiriki kombe la shirikisho Afrika ambalo mwaka jana Simba alifika robo fainali, ila hakuna klabu yoyote nchini iliyowahi kuvuka nusu fainali iwe klabu bingwa au kombe la shirikisho ambalo limeanzishwa na caf mwaka 2004.
Hivyo tusishangae tukiona Yanga ikichukua kombe hili la shirikisho na kuiletea nchi yetu heshima kubwa.
View attachment 2544029
Simba mwaka 94 vpUkitazama kwa jicho la kimpira utakubaliana na mimi ya kuwa klabu ya Yanga itafika mbali zaidi ya ilipofikia Simba kwenye michuano hii ya CAF.
Ikumbukwe Yanga inashiriki kombe la shirikisho Afrika ambalo mwaka jana Simba alifika robo fainali, ila hakuna klabu yoyote nchini iliyowahi kuvuka nusu fainali iwe klabu bingwa au kombe la shirikisho ambalo limeanzishwa na caf mwaka 2004.
Hivyo tusishangae tukiona Yanga ikichukua kombe hili la shirikisho na kuiletea nchi yetu heshima kubwa.
View attachment 2544029
Aisee we ni taahira wakutupwa? Yaani timu fulani kumfunga timu fulani hayo unaita mafanikio?daaaa ushabiki kazi sana
unamanisha haya yafatayo ndio yanga atayavunja kimataifa
1. Kuongoza kundi mbele ya al ahly na as vita
2. kumfunga as vita kwake
3. kumfunga al ahly akiwa kwenye form yake
4. kumfunga kaizer chief
5. kumfunga orlando pirates
6. kufunga vitataka kama fc platnum, nkana fc, de agosto, vipers, soura, asec memosa , gendermarie ya adebayor,
7. kumfunga rs berkane , al merrick,
8. kucheza fainal ya kombe la shirikisho africa
9. kufika nafasi ya 12 kwa ubora africa na kufikia hatua ya kucheza super league africa moja kwa moja
10. kutinga robo fainal za caf championi sio shirikisho mara kadhaa
11.goli bora la mwaka caf litoke yanga[emoji848]
n. B kuwafunga bamako, na tp mazembe iliyotolewa na viper vibonde ambao pia ni vibonde wa yanga kusiwafanye kulewa sifa za kijinga
yanga angemtoa al hilal ya sudan ndio ningekubali mpo vizuri
Nakuhakishia yanga hamna timu iliyokomaa kupambana na vidume waliopo caf, hata hilo shirikisho mshukuru hamkupangwa na mafundi, imagine mngekuwa kundi kama lile la simba la msimu jana lakina adebayor, konate et uwe na beki bakari au job[emoji848]
Tukubali simba kimataifa wapo mbali japo nao wanachechemea lakin walau wao wanapambana na vigogo hasa , mtu wa yanga anaweza sema viper ni vibonde lakin nina uhakika viper kwa yanga anapoint nne
yanga siku nikiona wameanza kuwafunga vigogo kutoka africa kusini, misri au morocco ndio nitaamin ipo siku watavunja rekodi za simba
mwisho: hata namungo aliingia makundi shirikisho, so cafcc is for all but not Caf champion league
Yaani kabisa unaandika kumfunga Al Ahly iliyokuwa kwenye ubora wao, wakati huo unajisifia hivyo mwenzio Al Ahly kanyanyua kombe kumfunga kwako haikumfanya ashindwe kubeba kombe. Nyie endeleeni kuhesabu hivyo hivyo tulimpiga fulani na fulani.daaaa ushabiki kazi sana
unamanisha haya yafatayo ndio yanga atayavunja kimataifa
1. Kuongoza kundi mbele ya al ahly na as vita
2. kumfunga as vita kwake
3. kumfunga al ahly akiwa kwenye form yake
4. kumfunga kaizer chief
5. kumfunga orlando pirates
6. kufunga vitataka kama fc platnum, nkana fc, de agosto, vipers, soura, asec memosa , gendermarie ya adebayor,
7. kumfunga rs berkane , al merrick,
8. kucheza fainal ya kombe la shirikisho africa
9. kufika nafasi ya 12 kwa ubora africa na kufikia hatua ya kucheza super league africa moja kwa moja
10. kutinga robo fainal za caf championi sio shirikisho mara kadhaa
11.goli bora la mwaka caf litoke yanga[emoji848]
n. B kuwafunga bamako, na tp mazembe iliyotolewa na viper vibonde ambao pia ni vibonde wa yanga kusiwafanye kulewa sifa za kijinga
yanga angemtoa al hilal ya sudan ndio ningekubali mpo vizuri
Nakuhakishia yanga hamna timu iliyokomaa kupambana na vidume waliopo caf, hata hilo shirikisho mshukuru hamkupangwa na mafundi, imagine mngekuwa kundi kama lile la simba la msimu jana lakina adebayor, konate et uwe na beki bakari au job[emoji848]
Tukubali simba kimataifa wapo mbali japo nao wanachechemea lakin walau wao wanapambana na vigogo hasa , mtu wa yanga anaweza sema viper ni vibonde lakin nina uhakika viper kwa yanga anapoint nne
yanga siku nikiona wameanza kuwafunga vigogo kutoka africa kusini, misri au morocco ndio nitaamin ipo siku watavunja rekodi za simba
mwisho: hata namungo aliingia makundi shirikisho, so cafcc is for all but not Caf champion league
Halafu mpira haupimwi Kwa mifano yako ya kipumbavu, eti Kwa vile klabu A alimfunga klabu B, na klabu C alimfunga klabu A basi unakuja na jumuisho klabu C pia atamfunga klabu B.daaaa ushabiki kazi sana
unamanisha haya yafatayo ndio yanga atayavunja kimataifa
1. Kuongoza kundi mbele ya al ahly na as vita
2. kumfunga as vita kwake
3. kumfunga al ahly akiwa kwenye form yake
4. kumfunga kaizer chief
5. kumfunga orlando pirates
6. kufunga vitataka kama fc platnum, nkana fc, de agosto, vipers, soura, asec memosa , gendermarie ya adebayor,
7. kumfunga rs berkane , al merrick,
8. kucheza fainal ya kombe la shirikisho africa
9. kufika nafasi ya 12 kwa ubora africa na kufikia hatua ya kucheza super league africa moja kwa moja
10. kutinga robo fainal za caf championi sio shirikisho mara kadhaa
11.goli bora la mwaka caf litoke yanga[emoji848]
n. B kuwafunga bamako, na tp mazembe iliyotolewa na viper vibonde ambao pia ni vibonde wa yanga kusiwafanye kulewa sifa za kijinga
yanga angemtoa al hilal ya sudan ndio ningekubali mpo vizuri
Nakuhakishia yanga hamna timu iliyokomaa kupambana na vidume waliopo caf, hata hilo shirikisho mshukuru hamkupangwa na mafundi, imagine mngekuwa kundi kama lile la simba la msimu jana lakina adebayor, konate et uwe na beki bakari au job[emoji848]
Tukubali simba kimataifa wapo mbali japo nao wanachechemea lakin walau wao wanapambana na vigogo hasa , mtu wa yanga anaweza sema viper ni vibonde lakin nina uhakika viper kwa yanga anapoint nne
yanga siku nikiona wameanza kuwafunga vigogo kutoka africa kusini, misri au morocco ndio nitaamin ipo siku watavunja rekodi za simba
mwisho: hata namungo aliingia makundi shirikisho, so cafcc is for all but not Caf champion league
Simba kuna Wapumbavu wengi sana.Yaani kabisa unaandika kumfunga Al Ahly iliyokuwa kwenye ubora wao, wakati huo unajisifia hivyo mwenzio Al Ahly kanyanyua kombe kumfunga kwako haikumfanya ashindwe kubeba kombe. Nyie endeleeni kuhesabu hivyo hivyo tulimpiga fulani na fulani.
πππYanga ipi iliyofika robo fainali shirikisho mwaka 2016Aisee we ni taahira wakutupwa? Yaani timu fulani kumfunga timu fulani hayo unaita mafanikio?
Unaelewa maana ya mafanikio wewe?
Halafu izo hatua zote mbaazo Simba imefika Yanga ndio mwanzilishi wake kama ulikuwa hujui.
Mwaka 1969, 1970 na 1998 Yanga kaingia iyo robo fainali ya klabu bingwa Afrika na wala huwezi kuona wanajivunia kwa maana iyo ni hatua tu na sio mafanikio.
Pia huko huko shirikisho izo robo fainali mbona Yanga kaingia mwaka 1995 na 2016?
We ndio wale mbumbumbu aliowasema Adeni rage
Mwaka 1995 kulikua na kombe la Shirikisho ππAisee we ni taahira wakutupwa? Yaani timu fulani kumfunga timu fulani hayo unaita mafanikio?